Mkwawa mnyalukoro
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 232
- 136
Naomba wimbo wa Kikosi cha mizinga unaitwa asiyekubali kushindwa ndiye mshindani
nadhani huyo atakua munishiWakuu kuna jamaa aliwahi imba ngoma kuhusu UKIMWI nakumbuka baadhi ya mashairi.
"Hebu sikilizeni kwa makini
Mapenzi hayo ya kwenye pombe
Yana hatari nawaambia
Kuna ugonjwa umetangazwa
Ungeliwaona walio ugua I
UKWIMWI
wamekoonda wamebaki mifupa mitupu
Cheka lakini kaburi lakungoja''
PIA KATIKA WIMBO HUU ALISIMULIA KISA CHA JAMAA KUKUTANA NA DEMU BAA NA WAKAWA WANAJIBIZANA
Juzi juzi nikiwa kwenye baa moja akaingia jamaa mmoja amevaa suti moja maridaadi
akaagiza muhudumu nipe bia
Mara akaingia mdada mmoja kiatu chake kinalia kwa kwa kwaa
jamaa akasema lazima niopoe
Dada unakunywa soda gani
demu akawa anasema
"Mimi nikinywa soda natapika mimi nakunywa vinywaji vikali vikali tuu"
Dah mkanisaidia hata jina la huyo jamaa tu mtakuwa mmenisaidia.
CC
KIOO
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Aise umenikumbusha mbali sana na hiyo ngoma.Ukiipata nishtue namimi.Wakuu kuna jamaa aliwahi imba ngoma kuhusu UKIMWI nakumbuka baadhi ya mashairi.
"Hebu sikilizeni kwa makini
Mapenzi hayo ya kwenye pombe
Yana hatari nawaambia
Kuna ugonjwa umetangazwa
Ungeliwaona walio ugua I
UKWIMWI
wamekoonda wamebaki mifupa mitupu
Cheka lakini kaburi lakungoja''
PIA KATIKA WIMBO HUU ALISIMULIA KISA CHA JAMAA KUKUTANA NA DEMU BAA NA WAKAWA WANAJIBIZANA
Juzi juzi nikiwa kwenye baa moja akaingia jamaa mmoja amevaa suti moja maridaadi
akaagiza muhudumu nipe bia
Mara akaingia mdada mmoja kiatu chake kinalia kwa kwa kwaa
jamaa akasema lazima niopoe
Dada unakunywa soda gani
demu akawa anasema
"Mimi nikinywa soda natapika mimi nakunywa vinywaji vikali vikali tuu"
Dah mkanisaidia hata jina la huyo jamaa tu mtakuwa mmenisaidia.
CC
KIOO
Mimi natafuta wimbo wa bwana messenger kaleta balaa
Oooh Owkay ngoja nimcheki mkuu. Thanks bro.
nyimbo zote zipo youtube hapa ni kwa nyimbo zisizoonekana kirahisi.Wakuu habari,,,,, msaada wa hizi nyimbo:-
1. Another day in paradise by brandy feat rey jay
2.Time after time by Cindy lauper
3.Sometime the snow comes down in dew by Vanessa William