Wakuu kuna jamaa aliwahi imba ngoma kuhusu UKIMWI nakumbuka baadhi ya mashairi.
"Hebu sikilizeni kwa makini
Mapenzi hayo ya kwenye pombe
Yana hatari nawaambia
Kuna ugonjwa umetangazwa
Ungeliwaona walio ugua I
UKWIMWI
wamekoonda wamebaki mifupa mitupu
Cheka lakini kaburi lakungoja''
PIA KATIKA WIMBO HUU ALISIMULIA KISA CHA JAMAA KUKUTANA NA DEMU BAA NA WAKAWA WANAJIBIZANA
Juzi juzi nikiwa kwenye baa moja akaingia jamaa mmoja amevaa suti moja maridaadi
akaagiza muhudumu nipe bia
Mara akaingia mdada mmoja kiatu chake kinalia kwa kwa kwaa
jamaa akasema lazima niopoe
Dada unakunywa soda gani
demu akawa anasema
"Mimi nikinywa soda natapika mimi nakunywa vinywaji vikali vikali tuu"
Dah mkanisaidia hata jina la huyo jamaa tu mtakuwa mmenisaidia.
CC
KIOO
nadhani huyo atakua munishi
 
Aise umenikumbusha mbali sana na hiyo ngoma.Ukiipata nishtue namimi.
 
Mkuu kioo kwema mkuu nikipata ngoma ya stopper rymes hatuuwezi urafiki ft farida zawadi kubwa sana kwako ya kutuma salamu kwa watu wawili
 
Nautafuta sana wimbo wa John Lisu- kama wewe audio quality au video yake mwenye nao naomba sana
 
Wakuu habari,,,,, msaada wa hizi nyimbo:-
1. Another day in paradise by brandy feat rey jay
2.Time after time by Cindy lauper
3.Sometime the snow comes down in dew by Vanessa William
nyimbo zote zipo youtube hapa ni kwa nyimbo zisizoonekana kirahisi.

huo wa vanessa unaitwa~save the best for last
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom