Mwenye wimbo wa Makamua uitwao 'Wanatamani' (original version, acha ile remix walifanya 2 in 1 kati ya Wanatamani ya Makamua na Staili Gani ya Moz B) tafadhali nauomba wadau.
Nahitaji ile original ya Makamua mwenyewe.
 
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
KIOO ebu jongea hapa huu wimbo hata mimi nimeutafuta sana Google sijaupata.

Sjui mnamaanisha huu...! Au sio huo...?
 

Attachments

  • Kingdom_Kampa_Kampa_Tena.mp3
    1.6 MB · Views: 88

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom