mm natafuta wimbo flani wa kusifu sijui ni sebene wanaimba "huyu Mungu ni baba", sijui jina LA wimbo wala waimbaj naomba anisaidie mwenye kujua
 
Wakuu kuna nyimbo nazitafuta mtandaoni sizipati km kuna mmoja wetu anazo anisaidie,
1; deso - my sweat heart
2: t.o.t band - sweat baby

Wikiendi itakua mzuri nikizipata.
 
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Naomba mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA
Ktk albam yao ya ETAT MAJOR kama atakuwa nazo hata zote.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
Nakazia hapa mkuuu naomba huu wimbo
 
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Naomba mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA
Ktk albam yao ya ETAT MAJOR kama atakuwa nazo hata zote.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
Nakazia hapa mkuuu naomba huu wimbo
 
Mkuu kuna ngoma za Nash niliziweka hapa wadau wakaweka hoja za msingi kuwa tuwa-support kwa kununua album za Hip Hop ni kama Elf 7 au haizidi Elf 10 ili wafaidi matunda ya kazi zao kama kweli tunaipenda na kui-feel Hip Hop mkuu.

Unafikiriaje hiyo hoja ya wadau unakubaliana nayo mkuu...? Au...?
Mm mwenyewe wiki ijayo nataka nimsupport Maalim,niinunnue hii Diwani Ya Maalim
 
Thank Bro!!much respect to you,,unatisha sana mzee,,,Mungu azidi kutupatia afya bora na yenye uzima tuzidi kufurahia haya mangoma mzee

Daaaaah umetisha mpaka basi mkuu. Notifications za kutosha mtu mzima much respekt Buddah.

Much Love Bro...!

 
Mwanangu Nimepitia
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Threads Zote Hadi Ya 432... Nimepata Ngoma Nyingi Ambazo Nilikuwa Nazihitaji.. Ila Nahitaji Sana Ngoma Za K Sal Jamaa Aliyeimba Mkiwa Na Feruz Na Umeondoka MamA Rmx Ya Afande Sele Ambayo Kaimba Ditto Peke Ake
 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom