Wakuu habar..

Bado natafuta
Mpenzi kwaheri-Jay Moe ft TID..

Mwenye nayo anisaidie!!

Pia Kalamu na karatasi kashirikishwa Nuruely(Sikumbuki muimbaji either ni Dataz au Vivian)
 
Habari wakuu!.

Goma inaitwa "NIMEISHA KWAMA" by Juma nature.

Ngoma ya kitambo sana,nimeitafuta bila mafanikio.

Msaada tafadhali.
 
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
KIOO ebu jongea hapa huu wimbo hata mimi nimeutafuta sana Google sijaupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom