Aisee hii sasa kiboko. Wimbo nimeutafuta miaka 10+. JF nimeupata within 24 hrs! Jonah Hex, heshima zote kwako na team nzima ya JF.Nenda youtube
unaitwa Mpongo love wa ndaya
Aisee hii sasa kiboko. Wimbo nimeutafuta miaka 10+. JF nimeupata within 24 hrs! Jonah Hex, heshima zote kwako na team nzima ya JF.
Ila tuning yangu ilikuwa funny japo nilijitahidi.
Kudos.
Idawnload uicomvert iwe audio afu uiskizishe shazamIle Bitz ya Undertaker wakati wa kuingia.. Tafadhali tafadhalii..
KIOO ebu jongea hapa huu wimbo hata mimi nimeutafuta sana Google sijaupata.Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
Kuna wimbo unaimba "ile sana tunafanana, kutwa nzima tunaongozana " ni bongo fleva na umetengenezwa na Abbah. Naomba anayeufahamu.
Watengwa safari ndefu wakubwa naitafuta
Habari wakuu!.
Goma inaitwa "NIMEISHA KWAMA" by Juma nature.
Ngoma ya kitambo sana,nimeitafuta bila mafanikio.
Msaada tafadhali.
Ukiupata basi nishtue kamandaDaaaah, bado memory hazija-catch up hizo mistari wakuu.
Nilishaiona hiyo request ila sijazielewa bado hizo lines mkuu.
Misuli ya imani
Trafiki-wagosi