Mkuu kioo naomba unisaidie wimbo wa nash mc mapendo,nakumaind ya temba na usihukumu ya daz baba.Funguo mbona nimeiweka jana tu aisee. Check page 1 au 2 za nyuma brother.
Pita hapo...
Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.www.jamiiforums.com
Wimbo unaitwa Usiibe kabla giza halijaingiaKIOO niwekee wimbo wa Jose Mtambo! Niliomba humu kwenye post za nyuma. Una kiitikio cha "heeya he" Jina lake hata silifahamu.
Naomba wimbo wa “Chegge & Temba Mkono Mmoja” wenye quality nzuri
Kioo tafadhali kama unao wimbo wa joti mbona usomeki nahiyaji video au audio please Fanya nakeke naona leo upo kimya sana
Naomba mwenye nyimbo za remmy ongala SHIDA na nyingine MBELE KWA MBELE tafadhali arushe hapa
asante sana mkuu naamini hizo nyingine unazifanyia kazi
bila kusahau ule wa dani msimamo ft mkoloni _ aku
tid ft complex _ hii mic