Thanks sana mzee baba ila hiyo safari ni ya Shusho sio hii ya mwaipaja.... Ukiipata poa pia bila kusahau Funguo ya snare
 
Wakuu kuna wimbo mmoja wa EAST COAST TEAM unaitwa TELL ME WHY waliutoa kufuatia kifo cha Marehemu COMPLEX NA VIVIAN mwaka 2005 mwenye nao auweke hapa kwenye huu uzi,
 
Huo ni wa Sikinde,Album ya Huruma kwa Wagonjwa. Nadhani upo Youtube. Ndani yake kuna nyimbo zingine kama Amina(dedication ya Mpakanjia kwa Amina Chifupa,wote R.I.P) ,Leo Furaha nk
Mkuu tembelea thread moja hvi ya nyimbo za drc.. ukifungua tu jukwaa la enterteinment utaipata.. then search huo wimbo..
 
Kuna kwaya moja ya RC inaimba kuhusu kutoa mimba sijui jina la wimbo au kwaya
Una anza kwa padre kutoa onyo kwa wanaotoa mimba kisha wanaimba watoto " Naliaa, mimi nalia, . .. Wanaitiki nalia kwa uchungu.
 
Thanks sana mzee baba ila hiyo safari ni ya Shusho sio hii ya mwaipaja.... Ukiipata poa pia bila kusahau Funguo ya snare

Funguo mbona nimeiweka jana tu aisee. Check page 1 au 2 za nyuma brother.

Pita hapo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom