Victor Ngowa
Member
- May 12, 2019
- 50
- 32
baba ningeuona ningeshapita nao siku nyingi sana kama unao fanya mpango basi mkuuANAITWA DANNY MSIMAMO FT MKOLONI NA ULISHATUMWA SANA HUKU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baba ningeuona ningeshapita nao siku nyingi sana kama unao fanya mpango basi mkuuANAITWA DANNY MSIMAMO FT MKOLONI NA ULISHATUMWA SANA HUKU
TangazoTaqwa ft Dully Sykes - Kifo Cha Mpenzi
Bantu Mcs - Tangazo
Lady Luh - Atadata
Sanaa mkuu
1: niacheni nimuoe_john woka ft dully sykes
2: tuko bwaa rmx capital letaz
3: neema rmx John flower ft rogath catapila & banza stone
4: nyimbo za diamond sound zile za mwanzoni kabisa kimalu malu na nyinginezo
Minuo Marquis original
Asali wa moyo (original version) ya Inspector Haroun.
Chindo & G Nako - Rihgt Here
- Bado Muda Kidogo
Wakuu,hongereni sana kwa uzi kama huu,kuna baadhi ya nyimbo nazitafuta zikiemo
1.long distance lover-jay mo ft domokaya
2.mtoto wa raisi-qchief
3.ukibebwa jishkie-crazy buffa ft banana
4.nyimbo zote za war will!
Naomba kuwasilisha.
Mkuu pls
1. Mr EBBO= VIPI HUTUONI
2. HARD MARD= SINA TENA MUDA
Msaada jamani
ShukranUnaitwa ‘wakati ndio huu’ ft ngwea
Mkuu napenda sana bounce alizotengeneza Producer Dunga kama unazo tafadhali nakuomba utuwekee kwenye huu uzi
Mkuu napenda sana bounce alizotengeneza Producer Dunga kama unazo tafadhali nakuomba utuwekee kwenye huu uzi