Mkuu kwamba kwenye le tenant du titre inaifunika Internet?

LE TENANT DU TITRE wa JB Mpiana na Bendi yake nzima Kipenzi changu ya Wenge BCBG ambapo Mghani / Rapa kwa Kiswahili au Atalaku kwa Kilingala au Animateur kwa Kifaransa ninayempenda kuzidi maelezo na niliyechukua jina lake na kulitumia rasmi humu JamiiForums aitwae GENTAMYCINE ( majina yake halisi Pitshou Lisimo ) alifanya Kazi ya ajabu humu huku akisaidiana kwa karibu sana na Baba wa Marapa / Waghani wote Congo DR Tutu Caludgi ( majina yake halisi Yombo Lumbu ) na pembeni yao wakimtambulisha Rapa / Mghani Kijana kabisa ila bahati mbaya sasa hivi ameshatangulia mbele za haki CELLULAIRE Mokili Mobimba ( majina yake halisi Faustine Nzinga Yankobo ) Kwa mpenzi yoyote wa Nyimbo za Kikongo akiusikiliza huu Wimbo hasa sehemu ile ya Sebene lake nina uhakika hata akiwa anambaiolojia Mkewe au anabaiolojiwa na Mumewe ataacha Kwanza ili aserebuke nao kwani ni moja ya Wimbo mtamu na umejaa kila kitu huku Vyombo vyote vikitulia kabisa. Nautafuta sana mwenye nao aniwekee hapa tafadhali na nitamshukuru mno / sana tu.
 
Wakuu na kuna wimbo mwingine, natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( pinda mgogo mgogo na nahis ni twaga pepeta vle cjui , na ndo wanavyoimba
 
Nafsi imesharudi, bado mwili.

Jumapili nitaenda kanisani na nikiweza nitaungama next Saturday.

Wewe ni RC?
Mimi sio RC
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu yoh1:12a

Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka
Rum10:13
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu
2tim2:19a
Lakini zikimbie tamaa za ujanani;ukafuate Haki na imani na upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo Safi
2tim2:22
 
Mimi sio RC
Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu yoh1:12a

Kila atakayeliitia Jina la Bwana ataokoka
Rum10:13
Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu
2tim2:19a
Lakini zikimbie tamaa za ujanani;ukafuate Haki na imani na upendo na amani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo Safi
2tim2:22

Shukrani sana, sana.
 

Attachments

  • Eminem_313.mp3
    3.8 MB · Views: 57
  • Eminem_Backstabber.mp3
    3.2 MB · Views: 50
  • Eminem_Infinite.mp3
    3.7 MB · Views: 43
  • Eminem_It's_Ok.mp3
    3.6 MB · Views: 35
  • Eminem_Jealousy_Woes_II.mp3
    3 MB · Views: 33
  • Eminem_Maxine.mp3
    3.6 MB · Views: 36
  • Eminem_Never_2_Far.mp3
    3.3 MB · Views: 36
  • Eminem_Open_Mic.mp3
    3.7 MB · Views: 31
  • Eminem_Searchin'.mp3
    3.4 MB · Views: 27
  • Eminem_Tonite.mp3
    3.4 MB · Views: 37

Similar Discussions

Back
Top Bottom