Mkuu KIOO, naomba nyimbo kadhaa kama unazo itapendeza sana
1: MZESE CREW ft JUMA NATURE -siku nzuri inavyokwenda
2: HARDMAN ft H-BABA ( wimbo nimeusahau kidogo, una mahadhi ya rumbha ,

Mkuu huo wimbo wa Manzese Crew unamaanisha ni huu...?
 

Attachments

  • Danny_Msimamo_Siku_Nzuri.mp3
    5 MB · Views: 173
Mimi naomba hizi zenye maneno haya,

-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"

-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu

-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!

Huo wa mwanadamu u mavumbi nitakutumia baadae.
 
Hakuna mkuu, nina zaidi ya miaka 10 nimeasi dini, ila naona kabisa bado napendelewa.
dah miaka mingi sana umeasi, fanya urudi nyumbani kwenu kabla wenye nyumba hawajakukataa.
Mungu hakatai mja wake lakini cha kushangaza wanaojifanya washikiliaji wakuu wa kwenda kwa mungu wanawakataa wafuasi wao waliopotea kwa muda usiojulikana
 
Mimi niliacha kusali kwa sababu ya kujua issue za mapadri kadhaa.

Nikaona hakuna sababu, hata kuungama nikaacha.

Ila kwenye kufanya tafakari na kusoma injili na maandiko machache, nimegundua kwamba wale nao wana hukumu zao. Hivyo nijilinde kivyangu.
Ulikosea Sana
Padri nae Ni binadamu ambaye Si mkamilifu
Hakuna mkamilifu duniani,,mkamilifu Ni Mungu mwenyewe

Ingekuwa watu wanaacha kusali kwa sababu ya mchungaji ama Padre ama askofu,,ingekuwa watu wanaacha kuimba kwaya ama praise kwa sababu ya watu wachache wenye tabia mbovu Basi kanisani kungekuwa hakuna watu kabisa
Padri Hana mbingu ya kukupeleka
 
Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.

Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-

Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...


Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.

Amani iwe nanyi.
Ebu niambie song hii inaimbwa kipindi gn may be pentekoste, utatu mtakatifu
 
Mimi naomba hizi zenye maneno haya,

-"Haya twendeni wote kule betlehemu tukamwone mkombozi wetu"

-"Mwanadamu kumbuka u mavumbi" ni wa majivu huu

-"Nitarudi na kusema,baba yangu nisamehe,nimekosa kwa imani na mbele....."
Mwenye hizi nyimbo tafadhali sana!
Kwa Mamu atakua nazo
 
Wakuu na kuna wimbo mwingine, natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( shika mgogo mgogo , na ndo wanavyoimba
 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom