philbert kabago ft cheleaman na Keisha wimbo unaitwa mama mia au my dear mwenye nao aongeze furaha ya moyo wangu.
 
Kuna nyimbo ya Chid benz ft Ngwea ... achana na Speed 120 ipo ngoma moja ya zaman.. Ivi... Mc nimetoka mbali nio kwenye safari ..... msaada
 
Eee wadau kuna jingoma lungine smkumbuki alieimba wala jina la wimbo ila kaanza kuchana akisema:mimi ni mwenzenu nasikitika sana ,sina hata la kusema nahuzunika sana ...kama kuna mtu anaijua basi anisaidie ntamzawadi konyagi
 
Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.

Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-

Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...


Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.

Amani iwe nanyi.
 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom