Kuna wimbo wa Mtoto wa Dandu ft Papii Kocha kaimba kisukuma humo mwenye nao tafadhali
 
mkuu fanya msaada wa
1:shika mic _ king gk ft Jeff jafary
2: haturap fa ft kwanza unit
3: acha kulia mic t
4: jamaa mmoja nimemsahau jina _njoo tutoke
5: dudu baya kaza buti
6: albam ya uvc
Hapa mkuu uwezo wa library yangu unaishia hapa.kwa UVC nna ngoma zao kadhaa,hazipo kimpangilio wa album
 

Attachments

  • DUDU BAYA(KAZA BUTI).mp3
    2.9 MB · Views: 115
Una uhakika na hilo jina la huo wimbo?nash kaida ana santuri 4 mpaka sasa na hamna ngoma inayoitwa jina hilo.au labda useme kiitikio kinaimbwaje tujue labda haikujumuishwa katika hizo santuri
Aliimba remix ule wimbo unaimbwa hivi "penzi kwako nimelionaaaa,moyoni lanichooma yani kabisa napata homaaaaa" ni wimbo fulani hivi wa kizamani aliurudia
 
Aliimba remix ule wimbo unaimbwa hivi "penzi kwako nimelionaaaa,moyoni lanichooma yani kabisa napata homaaaaa" ni wimbo fulani hivi wa kizamani aliurudia
Anha kumbe ni huo.ndomana nilishangaa hilo jina...Inaitwa HOMA IMENIZIDIA
 

Attachments

  • NASH EMCEE - HOMA IMENIZIDIA.mp3
    3.9 MB · Views: 133
Naombeni track ya bboy stereo inaitwaje noma

Na Ngoma ya Mtu Chee inaitwa Mia.

Na Ngoma ya O-Ten ft Godzilla-zamani na sasa
 
Album au wimbo wowote wa "ZE KILA KITU" Hawa walikua wanabadirisha nyimbo za mbele wanaimba Kwa kiswahili kama Vile Careless Whisper.a

Mack D.. kifo cha Nyani.. UMASIKINI NI BALAA

JO MAKINI FT RAMA DEE - SINA MUDA/SINA TIME (sina time ya kuwa nawe, bora niishi mwenyeweeeh, mwenyeweeeh.)

DOGO HAMIDU - WANYAMWEZI FAMILY FOREVER

NIKIZIPATA - CHALII FLANI HIVI WA SHY TOWN ( nikizipata, aah masela wote watadata, nikizipata hata madem walionitosa watataka wawe wangu)

Mbio za ukingoni sasa sakafuni - temba, daz baba...

Hali halisi - kb ft sumalee
AY FT FID Q - SINA MUDA
 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom