Bonyeza sehemu iliyoandikwa photos,files kwa chini yake then ingia attachment utakutana na file za nyimbo zako
Mkuu sio hiyo,kama ukiipata una pata ya bia kabisa sio soda tenaMahotela Queens - Gazette.
Hiyo ya soda saidia kuipandisha humu ukiweza.
Pitia vizuri huu uzi.ipo humu ilishawekwaMkuu KIOO naomba nyimbo za HBC Prof Jay akiwepo kama chuzi limekolea
Jamani naomba mnisaidie sana kupata haya magoma:
Penalty ya mwisho- Nash MC
Asiyehusika na Hip-hop atoke by Nash Mc
Nisaidieni sana nipate hizo ngoma
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Pitia huu uzi vizuri.hiyo ngoma ipo humu ilishawekwaMazee kuna kitu kinaitwa Zakaria cha Uswahilini matola,nakiombeni
Jamani naomba mnisaidie sana kupata haya magoma:
Penalty ya mwisho- Nash MC
Asiyehusika na Hip-hop atoke by Nash Mc
Nisaidieni sana nipate hizo ngoma
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Itakua Amka TanzaniaNatafuta wimbo wa One The Incredible ft Wakazi & Nikki Mbishi ni wa muda kidogo nadhani ulitoka 2014 - 2015