Kuna nyimbo sikumbuki aliimba nani walitokea kumjibu lady JD - wanaume kama mabinti.
Kuna remix yake kidokezo
"Wamama kama vijana.. misosi mitungi na pamba siku zinaeenda kila siku tunajirusha Wanatupenda wenyewe"

Please mwenye nayo aniwekee
 
Uko wimbo wa kisukuma uliimbwa na mama nyamoko (kama sijakosea) unataja majina ya viongozi ambao kiasili ni wasukumu, baadhi ya mashairi yake ni "ukubasukuma kumadoselo abanamhala pye bachangamku...utakaribishwa kwa viazi ugali na samaki..."
Mwenye nao au link anisaidie tafadhari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965
Natafuta wimbo wa Christmass,siujui jina lake,ila huimbwa ,,"Aiyolele mamaa aiyolelee,aiyolelee mamaa,aiyoleleee,viva krismas,viva krismas"TBC huucheza sana wimbo huu ikifka disemba
 
Natafuta wimbo unaitwa Jerusalemu ni wa rege msanii jina limenitoka.... Unaimbwa hivi

Barouh atat Adonai
Barouh atat jerushalaim..
Jeeeerusalemu here i am...
Jeeeerusalem giteim giteim

Shalom, salamalekhum...

Mwenye Audio yake naomba please

Alafu naombeni mnielekeze site nzuri ambayo naweza dowlod audio mwenyewe


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom