Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Ninayo,,tatzo kuiweka hapa,,,natumia simu mkuu
Ninayo,,tatzo kuiweka hapa,,,natumia simu mkuu
Ninayo,,tatzo kuiweka hapa,,,natumia simu mkuu
Niliwamiss pia wazee wenzanguUlipotea sana kiongozi. Au huwa unapita kimya kimya aisee.
We miss you buddy.
Au ndio hii inayoitwa Usipime,yupo na Colloo?Wakuu kwa hisani yenu, wimbo wa Babuu wa kitaa unaitwa NANI ANAYEWARUSHA?.
Halafu kwa watoto hivi wanaitikia ni BABUU WAKITAA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naombeni msaada nahitaji wimbo mmoja hivi sijui unaiywaje ila mistari inaimbwa.
Dunia hii mama lukumba lukumba . Dunia hii mwendo wa kinyonga.
Tafadhali mwenye nayo anisaidie wakuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipotea kidogo mkuu,,ila nmerudi kamili
Nilikuwa naomba ngoma ya Babuu ft colloo -usipimeNiliwamiss pia wazee wenzangu
Aisee kribu sana brother.
2KOPA1.
Mkuu naomba zile biti za msagasumu huwa zinanikosha sana,,, labda ufafanuz,, akienda kutumbuiza anakuwa na biti zake zile
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nyimbo za Justin kalikawe inaimbwa...Bob Marley malisalataa kwenye ile album yake ya zamani...na kama kuna zile zingine zake tupia
Sent using Jamii Forums mobile app
Enjoy hii ina quality nzuri sana.Mkubwa mbona hii quality yake ipo low sana... Umei-convert kutoka kwenye video nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushindwe mwenyewe sasaHabar za weekend wakuu.
Naomba hii ngoma.
Chidi Benz_nakaza roho
Shukran
Booooooooom...