we mkaka, huu hapa wimbo wako, babu yangu alikua anaweka anaanza kucheza huku amelewa kimpumu.
namie nitafutie taarab ya buzi limewekwa chini shangingi analichuuna
Asante sana Mama Debora kwa kunitupia huu wimbo maana nilikuwa nausaka sana bila mafanikio na nisingeweza kuupata bila msaada wako. Ama kweli JF ni kisima cha maarifa! Wimbo wako mpaka sasa hivi nakutafutia. Unaweza kukumbuka uliimbwa na bendi gani au kundi gani la taarabu?
 
Wakuu naombeni msaada nahitaji wimbo mmoja hivi sijui unaiywaje ila mistari inaimbwa.

Dunia hii mama lukumba lukumba . Dunia hii mwendo wa kinyonga.

Tafadhali mwenye nayo anisaidie wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom