Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,965
- 10,460
Nimeuweka hapo juu kwenye posts za nyumba. PitiaManung'ayembe nautafuta mno....
Nimeuweka hapo juu kwenye posts za nyumba. PitiaManung'ayembe nautafuta mno....
Wakuu msaada wa huu wimbo
Baadhi ya mistari yake
Uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe uchungu wa mapenzi unauma sana usiambiwe mpenzi wangu nishike mkono usiniachie ukiniacha nitaenda wapi mimi
Kiitikio
Helo napiga simu pokea baby am sorry
Wakuu kama kuna mtu anao naomba auweke hapa natanguliza shukrani zangu
"Unaonekana Unaye" ya Mez B naiomba wakuu...
Mkuu KIOO naomba nisaidie ngoma Ray c upo wapi na Baby girl mad ice yamenikuta GWM na nyimbo fulani hivi ya wana manzese kiitikio chake kila mtu na starehe yke anae tumia ujuzi wake na hayo ndio mapenzi yke... muhimu sna kaka plz
Shukuran sna kaka heshima kwako gwm yamenikuta basi mkuu
Mkuu Library yako ina madini kuliko hata viredio uchwara!!
Pia Neema ya Makamua ft Dully & Mr Blue
For sure.... Music is everything in our life!! Nadhani huu wire umepunguza stress sana kupitia Music therapy! Thanks kwako kaka.....unatupa dawaaa!!We live it. And we love it bro. Thanks mkuu.
For sure.... Music is everything in our life!! Nadhani huu wire umepunguza stress sana kupitia Music therapy! Thanks kwako kaka.....unatupa dawaaa!!
Mkuu KIOO naomba unisaidie huu wimbo kama unaoWakuu msaada wa huu wimbo