Wakuu habari

Msaada natafuta wimbo wa snop lee -namba ya simu

Mwenye nao naomba auweke hapa nitashukuru sana kuupata
 
Hiyo ngoma ipo youtube inaitwa Neema imeimbwa na Bima Lee Ochestre wana Magnet Tingisha.
Sikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha TRAXX tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".

Ila kwa kuwa tumelelewa na music tumeshamsoma na kumpatia anachohitaji hapo juu aisee.

 

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom