Nashukuru sana gwankaja na kioo kwa ushirikiano mkubwa ulio uonyesha Mungu awabariki sana ila pia naomba kma mna wimbo wa viraka f.t q jay unaitwa niambie ukweli kama sijakosea na wimbo wa steve rnb unaitwa msamaa una maadhi ya rege nadhan ndio wimbo wake wa kwanza kuutoa baada ya kushirikishwa na mr blue kwenye tabasamu pia wimbo wa hk f.t Ester wasira unaitwa umerudia tena Na wimbo wa mshakaji mmoja wa kanda ya ziwa anaitwa mariki F. T bayo wimbo unaitwa my fellow una hadhi ya rege tone.natanguliza shukrani
 
Naombeni mwenye nyimbo ya oten na afande sele tusahau yote yaliyopita..afande alipiga boonge la verse..refu sana la ukweli kinoma

Na dogo ditoo na kina afande sele wimbo sijui unaitwaje ila kuna mahali wanaimba "wenye upendo huleta tumaini"
 

Attachments

  • Afande Sele O ten tusahau.mp3
    3.5 MB · Views: 203
  • 01 Tumaini.mp3
    5.9 MB · Views: 152
#TBT wakuu.

1. Mr blue_Tuko pamoja.
2. Stereo_Nitabaki juu

Naomba hizo chuma wakuu tafadhali.

NOMA SANAAA WAKUU.





#TeamBajuda
#TBT
 
Mwenye Nyiombo za kijana mmoja alikuwa anajiita "Only face" naziomba kuna remix alifanya na saida karoli wa chambua kama karanga
 

Attachments

  • Lady_Issa_Sugar_Daddie.mp3
    7.1 MB · Views: 172
  • Lady_Issa_Dunia.mp3
    5.1 MB · Views: 144
  • Lady_Issa_Karibu_Yangu.mp3
    4.4 MB · Views: 133
  • Lady_Issa_Kizunguzungu.mp3
    5.7 MB · Views: 133
  • Lady_Issa_Kuteleza_Si_Kuanguka.mp3
    5.5 MB · Views: 139
  • Lady_Issa_Maisha_Mulima.mp3
    6.3 MB · Views: 131

Similar Discussions

76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom