Kuna wimbo wa RnB umeimbwa na dada mmoja wa kitambo sana nikiwa mdogo nilikuwa nakapenda sana, ulikuwa unaanza "tululuu taaa, tululuu lutaaaa" video yake kama amekaa kwenye bomber pembeni ya bwawa
 

Attachments

  • K_South_Tabia_Mbaya.mp3
    5.5 MB · Views: 149
  • joh-makini-dakika-90_(mp3CC.biz).mp3
    4.8 MB · Views: 94
  • Watengwa_Tabia_Mbaya.mp3
    3.9 MB · Views: 155
Nitafurahi kama wadau wengine wakiendelea kushusha tracks za Hashim hapa.
Mkuu bado naamini Hashim ni overrated and coward MC aliyekimbia baada ya kusoma alama za nyakati huku wenzake wakiendelea kutafuta ukombozi Wa hiphop na Muziki kwa ujumla. Hashim halingani na D rob wala zavala Wa KU. Kwa nini ananyanyuliwa kiasi hiki? Alifanya nini? Mbona Hata Nash MC anaandika na kuflow zaidi yake? Hapa nachoona jamaa anapepelewa na uzamani tu ila kwa shughuli jamaa Hata robo hamfikii fid q.
 
Kuna jamaa ameweka screenshot nyimbo za Mr. Paul naomba uziweke hasa hiyo ya chokolate akiwa na.jose mtambo, harusi na nyinginezo.za mr. Paul
Pia naomba wimbo wa Pauline zongo Safari
 
Kama unaamini Hashim alisikika kwenye Tunasonga tu nakusikitikia sana mkuu kwa kukosa ladha na mashairi konki ya huyu mwana Hip Hop OG ambaye Mimi binafsi sijaona wakumfananisha nae hapa TZ mpaka sasa.

Nikipata muda ntaandaa collection ya tracks zake niweke hapa kwa ajili ya wadau wengine waweze pata kusikia alichofanya jamaa kabla yakuachana na muziki ingawa Nyimbo nyingi za huyu mtu anatumia lugha za mtaani (matusi) moja ya sababu kubwa inayopigwa redioni ni Tunasonga tu.
Utatisha sana mkuu maana ukifanya hivyo utatusaidia kutushawishi na sisi wengine ambao hatujawahi kusikia kazi nyingi za huyu jamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom