Nauhitaji sana wa K basil, baadhi ya mistari yake ni

Siku moja ndotoni nikaotaa
Kwa mbali nikasikia unaniita
Ukajitokeza kwa pozi lenye utataa
Ndani ya khanga laini yenye kutepetaaa....
Nitashukuru sana wandugu
Kama bado haujaupata naomba namba yako ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom