Kuna wimbo wa Zaman kidogo sijuh Jina wala muimbaj but baadhi ya shair Ina tafadhar bwana rudi watoto Wana njaa wakati mke wako anapenda ku tanga tanga mpaka majerani wame choka kumuona wao husema fungeni milango ana kuja
 
Kuna wimbo wa lucky dube anaimba kizulu kama wa kanisani ivi yupo na hakina mama.mwanzo wa wimbo dube yeye anaongea kama sekunde 50 hivi sema sijui jina lake nimeutafuta sana aisee
 
Kuna wimbo wa Zaman kidogo sijuh Jina wala muimbaj but baadhi ya shair Ina tafadhar bwana rudi watoto Wana njaa wakati mke wako anapenda ku tanga tanga mpaka majerani wame choka kumuona wao husema fungeni milango ana kuja
 

Attachments

  • BWANA NIPE PESA.mp3
    3.1 MB · Views: 189
Bakwata ft nikki mbishi nikki wa pili fid q mwana fa young d nk
Mwenye nao aniwekee hapa
 
Natafuta wimbo ukipigwa sana radio free arnd 2007-, unaimbwa ' ewe mpenzi ngoja siku moja nitarudiii ngoja nitarudii wee vumiliaaa, natamani uwe karibuu usikiee sauti ya mahaba, wee vumiliaaa,..........., chondechonde wangu mpenziii........'
 
wimbo mmoja melody yake ipo ivi * Siku uliyoondoka uliniacha nalia na majozi oohoo sakinaa, sipati usingz ..........* inaendelea mbelee
 
Kuna Video Jennifer Lopez, Inawezeka ipo Youtube, ila kwakua, sijui wimbo unaitwaje, inabidi niombe msaada hapa, kama kuna mwenye kuukumbuka, na kuujua.
video yenyewe ni ya siku nyingi, Jennifer, anaonekana anapita mbele ya Babu mmoja, alafu Babu anaonyesha sura, ya kusifia mzigo wa Jennifer. Maana kipindi hicho Jennifer, alikua amefungasha hasa, ulinganisha na wanawake wengi wa Kimarekani. Naomba mwenye kikumbuka hii video aniwekee tafadhari, inawezekana pia sijaeleweka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom