PIA NAOMBA MWENYE WIMBO, WA DADA NEEMA JECONIA CHAVALA,, hata kama jaribu lako liwekubwaaa lifananishwe na mlima Kilimanjaro.
 
Sofia remix by Ben Paul,,beat yake imechangamka flan hv,,nshaisaka sna online bila mafanikio
 
JE KIONGOZI, NAWEZA PATA WIMBO FLANI UNAOSEMA,,, PARAPANDA IKILIA ULIMWENGU UTAMWONAAA MWANA KONDOO AKISHUKA NA UTUKUFUU, AKIBAGUA KONDOO NA MBUZI. Uliimbwa na Dada MKENYA anaitwa Esta. Ila sio yule Esta waome. Pia asante, mkuuu unatusaidia sana. Mungu akubariki sana, maana tunapata vitu adimu.

Huu hapa Kiongozi

 
Mwinye nyimbo hizi
1.zola d ft q chillah jana sio leo
2.b.o.b micharazo mwanzo mwisho
3.proof tee ft jose mtambo umeondoka naomba mwenye nazo anitumie maana nimezitafuta bila mafanikio
 
Wimbo flan ambao umeibwa kuisifia Zanzibar na aliyeimba cjajua km mzungu au nani,

mistari ya chorus inaimbwa hvi
"beautiful part of Africa, Zanzibar ooooh Zanzibar, Zanzibar ooooh Zanzibar


Natamani Sana niijue BT Ni nyimbo ya muda kidogo
 
Wakuu kuna wimbo umeimbwa na mbilia bel na tabu ley mwisho wanaimba embulukwe senga embulukwe senga jina siufaham wanaimba kama wanapokezana mashairi hiv mwenye nao tafadhal
 
Nautafuta wimbo wa fm academia kuna sehemu wanaimba shelina wangu nakuimbia leo uje tucheze machozi inatoka kama mvua mm jimmy chokolete
 
DAH!! kwakweli huu uzi ni mzuri ajabu.

Mkuu Neema Jeconia Chavala,, Hata kama jaribu lako liwe kubwaaa, lifananishwe na mlima Kilimanjaro
 
Nautafuta wimbo flani iv wa ngoma ya asili ambao hupiga mara kabla na baada ya kipindi kiitwacho 'jicho' cha tbc Taifa...
Kipindi hiki huzungumzia mila na desturi za makabila mbalimbali hapa Tanzania..

siufahamu jina.....kama sikosei huanza hiv

''ila maunde ya mama mwiiganyo...oooh! mwiganyo mwiganyo''

Nisaidien wadau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom