Ni Wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,201
Points
2,000
KIOO

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,201 2,000
Nachechemea- Hussein Jumbe

Koza - Suka Chile&Defao

Help please
Daaaah, hiyo ngoma ya Generalè umenikumbusha mbali sana aisee.

Unaikalia tu politiki,
Asubuhi na mapema yote,
Kazi hautafuti, utakula nini,
Pooole salame na shengeneee,
Sikia mamboooo... Hatari sana mkuu...!
 

Attachments:

Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2016
Messages
2,873
Points
2,000
Karne

Karne

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2016
2,873 2,000
Daaaah, hiyo ngoma ya Generalè umenikumbusha mbali sana aisee.

Unaikalia tu politiki,
Asubuhi na mapema yote,
Kazi hautafuti, utakula nini,
Pooole salame na shengeneee,
Sikia mamboooo... Hatari sana mkuu...!
Pamoja sana Mkuu

Hao washua walikuwa wanauvaa uhusika wa wanawake halafu ngoma inabamba vilivyo.

Again, Thanks mkuu
 
mkulu senkondo

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
972
Points
1,000
mkulu senkondo

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
972 1,000
Wakuu kuna wimbo mmoja wa kiafrika old skul itakuwa Zouk. Kaimba mama mmoja hivi unaimbwa kwenye chorus

"aye ngaya ya ee,
aye kiboko ya mataifa,
aya ngaya ya ee,
aye kiboko ya mataifa eee."

Siujui jina. Nimejitahidi kutengeneza tune. Kwenye background kuna ka-string flani hivi kanapigwa kivivu sana. ...ti tii....ti tiii, ti tiii .... ti tiii

Msaada wakuu. Naupenda sana ule wimbo. Ulikuwaga unapigwa radio free enzi hizo.
Unaitwa Ndaya! Umeimbwa na Mpongo Love....unaweza kuupakua kwenye sites mbalimbali mitandaoni.
 

Forum statistics

Threads 1,333,946
Members 511,787
Posts 32,459,045
Top