Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

fordzz

Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
59
Points
125

fordzz

Member
Joined Mar 26, 2017
59 125
Wakuu na kuna wimbo mwingine, natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( shika mgogo mgogo , na ndo wanavyoimba
 

nnyenya

Member
Joined
Apr 27, 2019
Messages
54
Points
125

nnyenya

Member
Joined Apr 27, 2019
54 125
Mkuu kwamba kwenye le tenant du titre inaifunika Internet?

LE TENANT DU TITRE wa JB Mpiana na Bendi yake nzima Kipenzi changu ya Wenge BCBG ambapo Mghani / Rapa kwa Kiswahili au Atalaku kwa Kilingala au Animateur kwa Kifaransa ninayempenda kuzidi maelezo na niliyechukua jina lake na kulitumia rasmi humu JamiiForums aitwae GENTAMYCINE ( majina yake halisi Pitshou Lisimo ) alifanya Kazi ya ajabu humu huku akisaidiana kwa karibu sana na Baba wa Marapa / Waghani wote Congo DR Tutu Caludgi ( majina yake halisi Yombo Lumbu ) na pembeni yao wakimtambulisha Rapa / Mghani Kijana kabisa ila bahati mbaya sasa hivi ameshatangulia mbele za haki CELLULAIRE Mokili Mobimba ( majina yake halisi Faustine Nzinga Yankobo ) Kwa mpenzi yoyote wa Nyimbo za Kikongo akiusikiliza huu Wimbo hasa sehemu ile ya Sebene lake nina uhakika hata akiwa anambaiolojia Mkewe au anabaiolojiwa na Mumewe ataacha Kwanza ili aserebuke nao kwani ni moja ya Wimbo mtamu na umejaa kila kitu huku Vyombo vyote vikitulia kabisa. Nautafuta sana mwenye nao aniwekee hapa tafadhali na nitamshukuru mno / sana tu.
 

fordzz

Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
59
Points
125

fordzz

Member
Joined Mar 26, 2017
59 125
Wakuu na kuna wimbo mwingine, natafta wimbo au sebene, nisijue alieimba ni nan au kundi ngan" lkn kama ckosei wimbo unaitwa mgogo mgogo ( pinda mgogo mgogo na nahis ni twaga pepeta vle cjui , na ndo wanavyoimba
 

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Messages
6,188
Points
2,000

KIOO

JF-Expert Member
Joined Mar 3, 2013
6,188 2,000

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,352,674
Members 518,178
Posts 33,065,805
Top