Nyimbo ni wingi wa wimbo
Nyakati ni wingi wa wakati
Nyanja ni wingi wa uwanja
Nyendo ni wingi wa mwendo
Umeulizwa hayo yote? Misifa tu.
Huwezi kuelewa kwamba naonyesha pattern ya matumizi ya "ny" katika wingi.
Inaonekana una chuki nami. Unauliza swali halafu kabla hujajibiwa ushatoa conclusion ya chuki.
Bloody birdbrained burlesk.
wewe mwenyewe unachemka tu. Eti wingi wa uwanja ni nyanja? Hii kali ya mwaka kwa kweli. Wingi wa uwanja ni viwanja wewe acha kupotosha jamii.
Viwanja na nyanja yote ni maneno ya wingi wa kiwanja.
Tena kwa kiswahili hasa ukisema vi una denote udogo, na mara nyingi "nyanja" hutumika kutaja "fields".
Kwa mfano utasikia "Chuo kina wakufunzi katika nyanja za uchumi, jiografia na hisabati". Nyanja= fields= wingi wa kiwanja.
Hapa ni kama matumizi ya maneno "wote" na "nyote", mtumiaji anaweza kuchagua na mara nyingi uchaguzi unatokana na lahaja, ndo maana wengine wanasema "papo" na wengine wanasema "hapo".
Kiswahili kipana, kutoka Barawa mpaka Kilwa, Unguja mpaka Goma, Mrima, Mvita nk. Huwezi kutegemea wote waongee kimoja.
Wewe usiyeelewa kwamba tofauti ya viwanja na nyanja ni tofauti ya lahaja ndiye unayetokota kabisa.
Don't expose your lack of depth by arguing with Kiranga using your single dialect Swahili coupled with the first definition, you will lose.
acha uzushi wewe. Hivi ulisikia wapi ''nyanja za mpira wa miguu za Tanzania ni mbovu sana.'' Huoni aibu kutetea uongo.
upo juu nimekuelewa ndugu!!!!!! wewe ni mwalimu, kuna kitu nimejifunza!!!!!!!!!!!Umasikini wa kuongea lahaja moja.
Ulisikia wapi "Nchi yetu imepiga maendeleo katika viwanja muhimu vya uchumi na siasa"
Nyimbo ni wingi wa wimbo
Nyakati ni wingi wa wakati
Nyanja ni wingi wa uwanja
Nyendo ni wingi wa mwendo
Upo sahihi kabisa bwana Muhammad ibun Hussein ibun nguo nyingi ibun mkomawatu ibun Batuta!!Viwanja na nyanja yote ni maneno ya wingi wa kiwanja.
Tena kwa kiswahili hasa ukisema vi una denote udogo, na mara nyingi "nyanja" hutumika kutaja "fields".
Kwa mfano utasikia "Chuo kina wakufunzi katika nyanja za uchumi, jiografia na hisabati". Nyanja= fields= wingi wa kiwanja.
Hapa ni kama matumizi ya maneno "wote" na "nyote", mtumiaji anaweza kuchagua na mara nyingi uchaguzi unatokana na lahaja, ndo maana wengine wanasema "papo" na wengine wanasema "hapo".
Kiswahili kipana, kutoka Barawa mpaka Kilwa, Unguja mpaka Goma, Mrima, Mvita nk. Huwezi kutegemea wote waongee kimoja.
Wewe usiyeelewa kwamba tofauti ya viwanja na nyanja ni tofauti ya lahaja ndiye unayetokota kabisa.
Don't expose your lack of depth by arguing with Kiranga using your single dialect Swahili coupled with the first definition, you will lose.
Hii nomino nyasi inaingia kwenye ngeli ipi mpaka wingi wake uwe wasi?nyavu ni wingi wa wavu
nyasi ni wingi wa wasi
nyenendo ni wingi wa mwenendo
Hii nomino nyasi inaingia kwenye ngeli ipi mpaka wingi wake uwe wasi?
Nitoe tongotongo ewe manju!