Ni Wimbo au Nyimbo?

Inkoskaz

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
6,372
2,374
Ukiwa mmoja,i mean single song unaitwaje?
zamani tulifundishwa kuwa Nation anthem inaitwa Wimbo wa taifa lakini siku hizi watangazaji wengi huita "nyimbo" je ni kiswahili fasaha na kina baraka ya bakita?
 
Nyimbo ni wingi wa wimbo
Nyakati ni wingi wa wakati
Nyanja ni wingi wa uwanja
Nyendo ni wingi wa mwendo
 
wanamuziki wetu wanaobana pua ndo wanapenda kuharibu kiswahili , utaskia "nyimbo hii, kipindi hichi" MY FOOT
 
Huwezi kuelewa kwamba naonyesha pattern ya matumizi ya "ny" katika wingi.

Inaonekana una chuki nami. Unauliza swali halafu kabla hujajibiwa ushatoa conclusion ya chuki.

Bloody birdbrained burlesk.

wewe mwenyewe unachemka tu. Eti wingi wa uwanja ni nyanja? Hii kali ya mwaka kwa kweli. Wingi wa uwanja ni viwanja wewe acha kupotosha jamii.
 
Viwanja na nyanja yote ni maneno ya wingi wa kiwanja.

Tena kwa kiswahili hasa ukisema vi una denote udogo, na mara nyingi "nyanja" hutumika kutaja "fields".

Kwa mfano utasikia "Chuo kina wakufunzi katika nyanja za uchumi, jiografia na hisabati". Nyanja= fields= wingi wa kiwanja.

Hapa ni kama matumizi ya maneno "wote" na "nyote", mtumiaji anaweza kuchagua na mara nyingi uchaguzi unatokana na lahaja, ndo maana wengine wanasema "papo" na wengine wanasema "hapo".

Kiswahili kipana, kutoka Barawa mpaka Kilwa, Unguja mpaka Goma, Mrima, Mvita nk. Huwezi kutegemea wote waongee kimoja.

Wewe usiyeelewa kwamba tofauti ya viwanja na nyanja ni tofauti ya lahaja ndiye unayetokota kabisa.

Don't expose your lack of depth by arguing with Kiranga using your single dialect Swahili coupled with the first definition, you will lose.
 
acha uzushi wewe. Hivi ulisikia wapi ''nyanja za mpira wa miguu za Tanzania ni mbovu sana.'' Huoni aibu kutetea uongo.
 
Napenda league za wasomi kama hizi kwakweli! Kama anabisha kwamba, wingi wa uwanja ni nyanja au viwanja, mwelekeze akasome NGELI ZA NOMINO na Ushahidi wa KIISIMU
 
media ndo zinaharibu kiswahili hasa hizi media za burudani. presenters hawawezi kutofautisha wimbo na nyimbo
 
Viwanja na nyanja yote ni maneno ya wingi wa kiwanja.

Tena kwa kiswahili hasa ukisema vi una denote udogo, na mara nyingi "nyanja" hutumika kutaja "fields".

Kwa mfano utasikia "Chuo kina wakufunzi katika nyanja za uchumi, jiografia na hisabati". Nyanja= fields= wingi wa kiwanja.

Hapa ni kama matumizi ya maneno "wote" na "nyote", mtumiaji anaweza kuchagua na mara nyingi uchaguzi unatokana na lahaja, ndo maana wengine wanasema "papo" na wengine wanasema "hapo".

Kiswahili kipana, kutoka Barawa mpaka Kilwa, Unguja mpaka Goma, Mrima, Mvita nk. Huwezi kutegemea wote waongee kimoja.

Wewe usiyeelewa kwamba tofauti ya viwanja na nyanja ni tofauti ya lahaja ndiye unayetokota kabisa.

Don't expose your lack of depth by arguing with Kiranga using your single dialect Swahili coupled with the first definition, you will lose.
Upo sahihi kabisa bwana Muhammad ibun Hussein ibun nguo nyingi ibun mkomawatu ibun Batuta!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom