Ni Wilaya ya Kilombero tu au na zingine?

Norton82

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
721
620
Niko maeneo ya wilaya ya Kilombero, kuna uhaba wa mafuta ya petroli, sijajua changamoto ni nini inayosababisha uhaba huo. sasa sijui kama ni kwa wilaya ya Kilombero tu, au na wilaya zingine za Morogoro, uhaba huu umepelekea mafuta kuuzwa lita moja Tshs 3000 kwa lita moja , hali hii ni changamoto ila ikiendelea itakuwa kero kwa wananchi, ni vyema mamlaka husika ishughulikie changamoto hii ili tatizo hilo liishe, shukrani!
 
Back
Top Bottom