Mkuu, sijazungumzia TV. Hata hivo TBC ni chombo cha umma yaani wewe na mie hivo ni jukumu letu kuona mambo yakienda sawa kwani mishahara ya wafanyakazi wake inatokana na kodi zetu.Si uangalie ITV, kwani una ndoa na hiyo Tbc? kwanza haieleweki na taarifa zake ni za kizamani kizamani.
chombo cha umma kinachoendeshwa kwa maslahi ya wana Njano njanoMkuu, sijazungumzia TV. Hata hivo TBC ni chombo cha umma yaani wewe na mie hivo ni jukumu letu kuona mambo yakienda sawa kwani mishahara ya wafanyakazi wake inatokana na kodi zetu.
usifanshe clouds navtu vyaovyo ovyo ww kama huna lakucoment tuliaMbadala wa tbc ni clouds
Ova
Wé Uko duniani ipi...mkulu,rc wote kutwa kukicha wako clouds....usifanshe clouds navtu vyaovyo ovyo ww kama huna lakucoment tulia
Jfikilie kwanzaWé Uko duniani ipi...mkulu,rc wote kutwa kukicha wako clouds....
Tbc kutwa kukicha ni ccm tu watu hawana mpango nayo...
Ova
Jifikirie wé kwanza......acha ifilie mbali kwanza maana wamekuwa syo wabunifuJfikilie kwanza
clouds au tbc ndyo ambao cyo wabunfuJifikirie wé kwanza......acha ifilie mbali kwanza maana wamekuwa syo wabunifu
Ova
Hivi wé NI mgeni jf ......ehh Kuna uzi nyibgi TU zilianzishwa za kuikosoa tbccm....clouds au tbc ndyo ambao cyo wabunfu
huo nmtazamo wako ww cyo kilamtu haipend clouds mm nawaelewa sana ucfoc tufanane kjanaHivi wé NI mgeni jf ......ehh Kuna uzi nyibgi TU zilianzishwa za kuikosoa tbccm....
Clouds wao wanatumiwa kwa sababu ni vimbelembele na wanajua kuwapa watu misifa
Tu.....
Ova
linaelekea kufa kama hawatojirekebishaKivipi mkuu wakati matangazo yake yanakatikakatika?
88.0 TaboraAchana na matbc we sikiliza MUZIKI tu