NI Waziri Gani wa Zama za JK una Hamu ya kumsikia bungeni?

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,318
4,399
Wakuu heri ya Xmas na mwaka mpya ... Binafsi Nina hamu SANA bunge liaze nisikie Mchango wa mama Hawa ghasia .,. Wewe je? Pia nataka kumsikia ana kawambwa ...
I mean akichangia tokea bench yaani kwa sasa NI mbunge wa kawaida na sio waziri Tena .
 
Kwetu Banana republic; JK na cabinet yake nzima walistahili kuwa selo; Segerea wakichangia ndoo na Babu Seya na mwanaye!! Good riddance!

Wakuu heri ya Xmas na mwaka mpya ... Binafsi Nina hamu SANA bunge liaze nisikie Mchango wa mama Hawa ghasia .,. Wewe je? Pia nataka kumsikia ana kawambwa ...
I mean akichangia tokea bench yaani kwa sasa NI mbunge wa kawaida na sio waziri Tena .
 
Waziri Mkuu Mstaafu M.P. Pinda Huyu Mzee Ana Busara. Zuri Zaidi Ana Speech. Both Content And Sound
 
Hawa VURUGU na Sophia SWALA hawa ndo kinanda cha mdundiko na uozo wa yaliyopita
 
Yule aliyekuwa Waziri wa Fedha.. Nataka kuona kama ataendelea kuongea kwa pozi na kuremba maneno
 
Back
Top Bottom