Ni wazi sasa: Mbowe na Zitto hawaivi

Status
Not open for further replies.
Kuna tetesi kuwa Mbowe ni mtoto wa kuzaa wa Nyerere na alizaliwa wakati Mwalimu akiwa katika shughuli zake za kisiasa huko Machame,wilayani Hai.Hivyo Mbowe kwa Vincent ni Bro.Ukibisha tazama Sura ya Madaraka,Magige,Makongoro na Mbowe "like father like sons".
Kuna tetesi pia kuwa Lowassa ni Rais wa Tanzania 2050. Great Thinker unaamani katika tetesi.
 
Lukuvi siyo Naibu Waziri Mkuu. Lukuvi ni Chief Whip Kaka. Angemuachia Lukuvi ingebidi Lukuvi amkasimishe madaraka yake ya u Chief Whip mtu mwingine!!! Kama kuna Naibu anachukua automatically.
Hilo nalijua lakini at least ndie incharge wa Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu bunge. Huyo ndio yuko close zaidi kuliok Shamsi. Hili hatulioni ila mgogoro wa Mbowe na Zitto. Mwenyewe alishawaambia mnaosubiri mkono wa binadamu uanguke mtaishia kubwabwaja
 
Kishongo,
Unasema chama cha kifamilia ipi? Jibu hilo swali.
Pili unataka kusema chadema ni cha cha wasukuma? au unasema chama cha kabila ipi? Maana chadema ina majimbo 3 tu Moshi lakini ina majimbo 7 usukumani.

Wachagga!. Wasukuma na wengine ni kanyaboya tu! In fact ni watumishi tu wa kuwasindikiza wenye kampuni yao.

Uhusiano wa Vincent Nyerere na Mbowe unafahamika ila hausemwi hadharani kwa sasa. Ila ukweli unabakia kuwa ni NDUGU. Inshaalah, ipo siku tutafanikiwa kupima genes za Mbowe na kulinganisha na za ukoo wa Nyerere.

Vinginevyo, Chadema ni ya Mtei, Ndesamburo, MBOWE, Lema, Salasini, Slaa nk. Hawa ndio wenye kufanya maamuzi kama walivyochakachua uchaguzi Bavita na uteuzi wa Wabunge wa kuteuliwa.

Wenye macho wanaona.
 
Kuna tetesi pia kuwa Lowassa ni Rais wa Tanzania 2050. Great Thinker unaamani katika tetesi.

Tetesi ndio msingi wa USALAMA WA TAIFA wa NCHI yako na kwingine duniani.Hata Osama alikamatwa baada ya tetesi.Acha kupotosha usemi huu kwa uvivu wa kufikiri.
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi. Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha. Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere. Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe. Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema. Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu. Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.
"Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu." KWELI WWE UMETUMWA SASA UKABILA UKO WAPI HAPO KATI YA VICENT NYERERE NA FREEMAN MBOWE? ANGALIA HAPA JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RIDHIWAN JAKAYA KIKWETE YUSUPH MAKAMBA NA JANUARY YUSUPH MAKAMBA MOSES NAUYE NA NAPE NAUYE ALHAJI HASAN MWINYI NA DR.HUSSEIN MWINYI JOHN NCHIMBI NA EMMANUEL NCHIMBI JE HILI UMELIONA MENGINE UNAYAJUA NA CHAMA CHENU CHA MAGAMBA
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Uzinduzi wa maonyesho ya utarii arusha waziri mkuu aliwakilishwa na Lazaro Nyarandu(siyo Nahodha), Stella Manyanya alimuwakilisha spika kwenye fanction moja kule Ruvuma mwezi huu wa sita,Sijui ndugai alikuwa wapi! ZITO ALITOA MSIMAMO WAKE NA MBOWE HUKO IRINGA WAKIFUNGA ZIARA YAO YA NYANDA ZA JUU KUSINI,Sasa tumsikilize nani wewe au Zito.
 
Wachagga!. Wasukuma na wengine ni kanyaboya tu! In fact ni watumishi tu wa kuwasindikiza wenye kampuni yao.

Uhusiano wa Vincent Nyerere na Mbowe unafahamika ila hausemwi hadharani kwa sasa. Ila ukweli unabakia kuwa ni NDUGU. Inshaalah, ipo siku tutafanikiwa kupima genes za Mbowe na kulinganisha na za ukoo wa Nyerere.

Vinginevyo, Chadema ni ya Mtei, Ndesamburo, MBOWE, Lema, Salasini, Slaa nk. Hawa ndio wenye kufanya maamuzi kama walivyochakachua uchaguzi Bavita na uteuzi wa Wabunge wa kuteuliwa.

Wenye macho wanaona.
Ushuzi! Bavita ni kitu gani? Wabunge wa kuteuliwa muulize JK
 
"Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu." KWELI WWE UMETUMWA SASA UKABILA UKO WAPI HAPO KATI YA VICENT NYERERE NA FREEMAN MBOWE? ANGALIA HAPA JAKAYA MRISHO KIKWETE NA RIDHIWAN JAKAYA KIKWETE YUSUPH MAKAMBA NA JANUARY YUSUPH MAKAMBA MOSES NAUYE NA NAPE NAUYE ALHAJI HASAN MWINYI NA DR.HUSSEIN MWINYI JOHN NCHIMBI NA EMMANUEL NCHIMBI JE HILI UMELIONA MENGINE UNAYAJUA NA CHAMA CHENU CHA MAGAMBA
Salma Kikwete na JK, Violet Mzindakaya na Chrisant Mzindakaya, Vita Kawawa, Zainabu Kawawa na Rashid Kawawa e.t.c
 
Salma Kikwete na JK, Violet Mzindakaya na Chrisant Mzindakaya, Vita Kawawa, Zainabu Kawawa na Rashid Kawawa e.t.c

Haya ni mambo ya kawaida...... ongezea pia Rais Bush Senior na Bush Junior, Kabila baba na mtoto, Rais Clinton na Madame Clinton etc,,,
 
Salma Kikwete na JK, Violet Mzindakaya na Chrisant Mzindakaya, Vita Kawawa, Zainabu Kawawa na Rashid Kawawa e.t.c

Acheni "uswahili" kwani siasa na uongozi kuna ukomo wa wanafamilia kushiriki!Mbona Ndesa yuko na Bintiye,Lissu na dada yake,Slaa(katibu) na mama watoto wa zamani(mbunge)....n.k,hapo ni Wabunge 40 tu sasa ikifika idadi ya CCM zaidi ya 260 itakuwaje?.

Kila mtu ana haki ya kuchaguliwa ama kuchagua kiongozi,hivyo hili halina mashiko!
 
Ushuzi! Bavita ni kitu gani? Wabunge wa kuteuliwa muulize JK

Sahihisho: BAVICHA na Wabunge wa Viti Maalum Chadema.
Hapa ndipo ulipofanyika uchakachuaji wa kikabila nusura wamtoe roho Zitto!
 
Wale wafugaji watanielewa vizuri. Fisi huwa anamfuata mwanadamu saa za jioni akidhani labda mwanadamu ataangusha mkona apate kitoweo na kupunguza njaa. Bahati mbaya binadamu hawaangushi mikono. Kishongo, Chadema ni taasisi.
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.
Vipi kuhusu Vuai?
 
Kishongo na chama chanu cha kisultani hicho ,sasa kama cdm ni ya mtei,ndesamburo,na mbowe so what?kwani ccm ilishuka kutoka mbinguni si ilianzishwa na watu na inawasisi wake kama alivyo mzee mtei kamanda wa cdm,ccm ni kampuni ya lowasa,chenge na rostam? Najua umenunuliwa moderm na nape ili uwe unaandika upupu,jf haikufai nenda facebook,unaacha kuandaa ratiba za kuvua magamba mapacha watatu wiki ijayo siku zimekaribia andaeni dispatch kwa ajili ya kuwabidhi barua za kuwafukuza wafadhiri wenu wa chama akina lowasa ,chenge na rostam unaangalia ya cdm wakati kwenu kunauungua,ole milya mmeshindwa mtamuweza baba yake lowasa?kazi mnayao jahazi lenu la ccm linazama mikononi mwa mkwereeeeeeeeeeeee,hahahahaa mkwereeeeeeeeee
 
Zito yupo kamat ya mashirika ya umma,waziri wa fedha cdm so yupo tyt sana kwa sasa.WE KISHONGO BORA UNGEKUWA SWALA UFUGWE PALE KWENYE ZOO YA MAGOGON
 
akikaimu Zito nafasi ya zito atakaimu nani??.......................... anampa mwingne uzoefu

ccm walishazoea mtu mmoja ni mbunge, ni mkuu wa mkoa, ni mkuu wa wilaya, ni mwenyekiti wa kamati ya bunge, ni mwenyekiti la baraza la nidhami la mahakama. kila kitu analimmbikiziwa mtu mmoja utadhani wengine hawapo.

chadema is a new chapter!!!
 
Leo Spika ametangaza kuwa Waziri Mkuu na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni wana udhuru wa kutohudhuria kikao cha asubuhi.

Waziri Mkuu alikaimu madaraka yake kwa Shamsi Vuai Nahodha.
Mbowe alikaimu kazi zake kama Kiongozi wa Upinzani kwa Mbunge Vincent Nyerere.

Haiingiii akilini kwa Mbowe kumkabidhi Nyerere wakati kuna Naibu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mhe Zitto Kabwe.
Hii inaashiria kuwa wawili hawa hawaivi, au pengine tuseme mambo si shwari katika uongozi wa juu wa Chadema.

Tusishangae kuona anguko la ghafla la Chadema kutokana na ukabila na ubinafsi wa viongozi wa juu.
Tz bado hakijapatikana chama makini cha upinzani kwani Chadema ni kama Kampuni ya Kifamilia.

Mara nyingi sana umekuwa ukipenda kuitumia kauli hii katika muendelezo wa "utume" wako.

Hii ni njozi, utabiri, ndoto au matamanio??

Huoni hata aibu kuwa mfukoni mwa nepi huku ukijinasibu kwamba una ufahamu!
 
Wewe jamaa ni wa ajabu! Halafu wewe ulikuwa unakurupuka kutoa majibu mepesi mno hata huku shuleni inaonekana! Labda niulize maswali haya. Je, umemwona mh. Zitto leo bungeni? Je, kila kitu lazima kifanywe na Kaimu kiongozi wa upinzani kama kiongozi wa kambi ya upinzani hayupo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom