Ni wazi CCM wamefanikiwa kutugawa watanzania, tumepoteza umoja wa Kitaifa

Mkuu usiogope hii regime haina muda mrefu ita-collapse!
Sio siri hali ya mgawanyiko ni kubwa sana lakini wahusika ni kama hawana habari.
Yaani kuna watoto wa baba yangu mkubwa mmoja ana degree ya bcom na mwingine kasoma mipango dodoma basi wameshauriwa kuwa na kadi za ccm ili wawe wanapata dili ndogo ndogo huko halmashauri.Na kweli wamepewa kadi.Niliumia sana kuona hii hali
 
Wasalam, tunamaliza mwaka 2018 tukiwa hatuna mshikamano km taifa, hatupo pamoja kila mtu na lake, yaani Hakuna umoja wa kitaifa tumesambaratika. Hizi ni sera za ccm ili waendelee kututawala milele km wanavyojiapiza kwamba watatawala milele.

Ccm wamefanikiwa kujenga hofu miongoni mwa jamii na ss wanaongoza kwa kutegemea vyombo vya dola, muhimili mkuu umeingilia mihimili mingine(bunge na Mahakama). Tanzania sasa tumepandikizwa visasi na woga hatujui hatima ya kesho yetu, kila kiongozi anatoa matamko ya ajabu ajabu.

Ccm kwa makusudi kabisa wameamua kuinajisi na kuibaka KATIBA ya JMT na sass wanaongoza kwa katiba ya ccm na matakwa ya mwenyekiti. Hakuna separation of power, sheria anatunga mtu mmoja, bajeti anapitisha mtu mmoja, hukumu anatoa mtu mmoja, hakuna uhuru wa kuhoji kila mtu anahofu na woga.

Tunaelekea wapi,? Maana vilio vimetanda pote, wafanyakazi Wanalia, wakulima wanalia, wanasiasa wanalia, hatujui hatima ya kesho.
Mshikamano uko sana ila wale nyumbu wako peke yao kila wanalotaka halikubaliki ndio maana wanafikiri hakuna mshikamano
 
CCM ni mwanaume na mwanaume mara zote ndie anaestutumiwa kwa ubakaji na unajisi.
 
Wananchi Kama wananchi bado wanaumoja na mshikamano isipokuwa CCM ndiyo imewaacha wananchi.
 
Sio siri hali ya mgawanyiko ni kubwa sana lakini wahusika ni kama hawana habari.
Yaani kuna watoto wa baba yangu mkubwa mmoja ana degree ya bcom na mwingine kasoma mipango dodoma basi wameshauriwa kuwa na kadi za ccm ili wawe wanapata dili ndogo ndogo huko halmashauri.Na kweli wamepewa kadi.Niliumia sana kuona hii hali
Mkuu usiumie sana, mm binafsi nilisha wahi kushauri humu watu wengi tujiunge na CCM si kuwa tuna kubali bali ni kwenda kufanya mapinduzi ndani ya CCM .
Nalisema hili ni kwasababu sisi wa Tanzanian hatuwezi maamdamano.
Hii ninjia ambayo hatuta mwaga damu
 
Sasa huko si ni sauti ya mmoja?
 
hayo ni maneno yako ambayo umefikia kiwango cha mwisho cha kufikiri, sema ccm imepata rais ambae anaesimamia na kutekeleza kwa sasa
 
Watanzania wangapi Mmegawanywa?
Wasalam, tunamaliza mwaka 2018 tukiwa hatuna mshikamano km taifa, hatupo pamoja kila mtu na lake, yaani Hakuna umoja wa kitaifa tumesambaratika. Hizi ni sera za ccm ili waendelee kututawala milele km wanavyojiapiza kwamba watatawala milele.

Ccm wamefanikiwa kujenga hofu miongoni mwa jamii na ss wanaongoza kwa kutegemea vyombo vya dola, muhimili mkuu umeingilia mihimili mingine(bunge na Mahakama). Tanzania sasa tumepandikizwa visasi na woga hatujui hatima ya kesho yetu, kila kiongozi anatoa matamko ya ajabu ajabu.

Ccm kwa makusudi kabisa wameamua kuinajisi na kuibaka KATIBA ya JMT na sass wanaongoza kwa katiba ya ccm na matakwa ya mwenyekiti. Hakuna separation of power, sheria anatunga mtu mmoja, bajeti anapitisha mtu mmoja, hukumu anatoa mtu mmoja, hakuna uhuru wa kuhoji kila mtu anahofu na woga.

Tunaelekea wapi,? Maana vilio vimetanda pote, wafanyakazi Wanalia, wakulima wanalia, wanasiasa wanalia, hatujui hatima ya kesho.
 
NCHI IMEGAWANYIKA VIPANDE VIPANDE, WATU TUMEGAWANYIKA, TUMESAMBARATIKA, WANANCHI HATUAMINIANI TENA, KILA MTU AMEGEUKIA KWAKE, OLE WETU SISI MAANA HATUPENDANI TENA, ADUI HATUMTAFUTI NJE YA MIPAKA TENA, TUMESHAKUWA MAADUI SISI KWA SISI, UDUGU UMEKUFA, TUNAOMBEANA MABAYA. ADUI AMEPATA NAFASI. MUNGU IPONYE TANZANIA
Ameen
 
Mazombi ktk ubora wanu.itukaneni nchi,tukaneni viongoz wa nchi.jutukaneni na ninyi.ndivyo mlivyo.na ndivyo mtakavyo kuwa.kw sbbu ndivyo mlivyo lelewa.
 
Hakika tumegawanyika hasa, tusali sana wakati huu wa mwisho wa mwaka yasiwe mabaya zaidi..Tumwombe Mungu ampe hekima Rais wetu ili aweze kwa kadiri ya uwezo wake atende kila lililojema kwa wananchi wake.. Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom