Ni watu wenye mawazo finyu wanawezasifu Makamba Jr | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni watu wenye mawazo finyu wanawezasifu Makamba Jr

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Geza Ulole, Mar 3, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  Kumezuka mchezo wa watu kumkweza Bwana January Makamba ati ni shupavu katika maamuzi yake ya Dowans ya kutuchinjilia mbali na gogoro linaloendelea! Naomba wanaomsifu wajibu yafuatayo

  1. Katika kutibu tatizo sugu la umeme kwa hatua za dharura zinazohitaji kuwashwa generator za Dowans, Je tunajua implications zake kwa kampuni inayoidai Tanesco? ilhali mgogoro ukiwa bado kwenye vyombo vya sheria?
  2. Je huyo Bw. Adawi anayesemwa yuko tayari kusamehe deni la Tanesco la zaidi ya Tshs 90 bio. amesema hayo wapi hayo kimaandishi? Wanasheria wapi walikuwepo kuweka sawa makubaliano hayo kisheria?
  3. Na hata kama kuna makubaliano ya umeme huo wa dharura nani anajua thamani ya mradi huo wa dharura? Ni vipi kama tukiuziwa 100MW kwa gharama itakayo-factor in deni lake na thamani halisi au zaidi ya umeme huo unaouzwa na faida lukuki? Hivi kwa nini huo mkataba wa dharura usiwe wazi tukauona? Bunge mbona haliusishwi ila kamati zake?
  4. Na mwisho huyu Makamba ana upeo gani wa mambo ya sheria kujifanya kijogoo namna hiyo kwa mambo anayochukulia kirejareja namna hiyo? amepewa ngapi mpaka sasa?
   
 2. m

  mzambia JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Like son like father.... Wao kukurupuka ktk ukoo wao ni kitu cha kawaida kabisaaa
   
 3. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  maswali ya kitoto hayo! mwache kijana atukomboe msilete siasa hapa p...vu zako!
   
 4. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ....i give him no credits!!!!
   
 5. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  like son like father ........ huyo katumwa sio yeye, wamemuweka pale makusudi kabisa na strategically alianza kazi kwa kumponda Ngeleja yote ile ilikuwa kutuiba kisiasa, ilipangwa. So mapendekezo hayo ni mavi. Wewe mtu una kesi naye tena unaenda pale pale then baadae tunakuja kujiuliza ilikuwaje? Si kama leo watu wanajiuliza kwa nini Richmond iliyojulikana kuwa hewa kuchagua mrithi wake?

  Suluba ndio suluhisho lao
   
 6. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kalagabaho wewe ni umeoa?
   
 7. d

  dotto JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dharura hii ilianza lini? na itakuwa sio dharura lini? Nakumbuka Dr.Rashid naye alisema dharura tukajua naye fisadi. Baadaye mvua zikanyesha. Serikali bado iko kwenye dharura tu. Je Dowans wangehamisha mitambo yao kabla je, dharura hii ingetatuliwa na nani? na mitambo ipi. Je dharura hii inangojea mitambo hii tu? Kope sio macho ila Kope ziko juu ya karibu na macho.
   
 8. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu, nafahamu CHUKI kubwa ambayo wanajamvi wanayo kwa CCM as a whole......lakini JF sio sehemu ya kutoa machuki, JF ni sehemu ya Great thinkers....na kama mtu anafanya kitu apewe due zake jamani. MNACHOSHA!

  PS: Mi sio CCM na wala siifagili CCM....na ile hotuba ya mwisho wa mwezi imeniboa.....lakini kama MAGUFULI anafanya kazi nzuri, isijalishe kama ni CCM au la, na kama JM anafanya kazi pia isijalishe......nia ni kuendeleza taifa, sio SIASA tuuuuu....hatutafika.
   
 9. m

  mzambia JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Im saying again ... Makamba jnr is like son like father...
   
 10. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,410
  Likes Received: 1,968
  Trophy Points: 280
  mie naona kumsifia huyo mbunge ni sawa na kumsifia kafulia wote wanatafuta sifa hakuna jipya na zaidi wametumwa period
   
 11. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,293
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280

  kwa ubishi huo wewe kamwe hutaweza kujifunza kutokana na makosa! kichwa chako kigumu sana kuelewa mambo magumu!
   
 12. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Humu JF kuna wat wenye mtazamo mbovu wa kisiasa? yaani hatuna practical thoughts kila wakati siasa. Unataka chadema au unayemtaka afanye jambo ndiyo tufurahie. Ndiyo maana mimi nasema kina makamba wadeal na wataalamu wa nnje na wandani yaani electrical and energy engineers, wachumi, wanasheria, na development planners na siyo wafanyabiashara na wanasias maana chochote kitakachoamuliwa kitaamuliwa kwa maslahi ya chama fulani cha sias au kampuni fulani ya kuzalisha umeme badala ya kuangalia maslahi ya umma.

  Makamba keep it up ila usifuate ya babaako au rafikiako Lowasa.
   
 13. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tupo pamoja!
   
 14. nahavache

  nahavache JF-Expert Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Apr 3, 2009
  Messages: 869
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Kama watu wanakumbuka vizuri, ile position aliyo nayo iliandaliwa ili kumpa kufanya kitu Fulani. Angalia yafuatayo:
  Mwaka jana mwanzoni anaanzisha mipango kabambe ya kumuondoa William Shelukindo Bumbuli ambaye aliibua hoja ya Richmond mwaka 2008. Mikakati ilikuwa mikubwa mpaka anaandika kitabu. anafanikiwa katika hilo. Japo watu wengi walifikiri kuwa angepewa u waziri ku replace waziri kijana, Masha ambaye hakufanikiwa kurudi bungeni, JK anamuweka kando nadhani ili alichomtuma kisifahamike haraka.
  Siku chache Bungeni anamuandikia barua waziri Willium Ngeleja ambayo inaonyesha shutuma na kuibua hata mambo ambayo watu wengi hawajui ikiwa ni pamoja na kesi iliyofinguliwa na standard chattered bank.
  Siku chache, in fact less than a week anawekwa anawekwa kwenye list ya kamati ya nishati na madini tena sio kamati nyingine lakini ya nishati na madini.
  Baadaye, nadhani siku ile ile anachaguliwa kuwa mwenyekiti wa kamati ya nishati na madini. Baada ya muda mfupia anaomba kwenda Mtera. Huko anaanza kuwalaumu waliomtangulia kuwa walikuwa wanakula lunch allowance ya 1m kila mtu.
  Muda mchache, less than a week, anayeitwa mmiliki wa DOWANS anafika nchini na January Makamba anakuwa dalali wa DOWANS na kutoa matamushi ambayo utadhani yeye ndiye waziri mwenye dhamana ya nishati nchini.
  Fungueni macho, kuna kitu hapa
   
 15. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  Muache wizi kuna meli lukuki zenye magenereta ya kutengeneza umeme bahari ya hindi zinazoweza kutia nanga bandarini na kuzalisha umeme in a day! Yaani kwa jinsi Dowans walivyotufanya kwanini dharura hiyo iwahusishe wao tuu kila mwaka...? hiyo tenda ya umeme wa dharura imetangazwa lini? mbona Kenya wakiwa na mahitaji ya dharura huagiza umeme wa meli kuja ku-supply Mombasa? Humu ndani watu si watoto huu mradi unaopigiwa debe na Makamba Jr una harufu ya rushwa na ufisadi!
   
 16. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  atamkomboa babu yako ni bibi yako kule kwenu kijijini kwenu (kama wako hai na wanaweza wakamudu bei ya huo umeme) na si mimi mwenye kujua wizi unaoendelea!
   
 17. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaazi kweli kweli.....na hiyo habari we unaitoa wapi?
   
 18. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,078
  Likes Received: 4,017
  Trophy Points: 280
  upeo wako mdogo kijana ila kuna meli za jenereta ambazo zinaweza ku-supply umeme huo wa dharura kuna makampuni yako kwa ajili ya shughuli hiyo na kinachotakiwa ni kuletwa na kuunganishwa na gridi ya taifa kutokea bandarini ni kama vile socket na kompyuta! japokuwa meli ndiyo itakuwa inauzalisha huo umeme!
   
 19. MANI

  MANI Platinum Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,410
  Likes Received: 1,863
  Trophy Points: 280
  Hivi kukodi na kununua kipi ni bora? Nafikiri angetoa uamuzi wa Tanesco kununua mitambo yake angestahili sifa lakini kukodi kwa kusingizia dharura karibu miaka 20 sasa dharura ni hiyo hiyo sasa hapo hatuna haja ya kumpa sifa yoyote.
   
 20. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  The junior makamba pretends as if he more intelligent than the rest of us in tanzania.we would like to inform him that he is simply suffering from delusions of grandeur.people are just watching at his childish and unpopular move.having stayed at the state house does not necessarily mean being more intelligent, more wise.let us just ignore him.
   
Loading...