Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,665
- 239,155
Wakuu natanguliza Uzalendo na naomba kujibiwa kama kuna anayefahamu .
Kwamba kama kuna raia wengi wa nchi zingine wanafundisha soka nchini mwetu , basi bila shaka kuna watanzania pia wanafundisha soka nje ya nchi .
Je wako nchi gani na ni vipi timu wanazofundisha zinavyoendelea ?
Kama Majirani zetu Burundi , Kenya , Malawi , Uganda nk wamekuja kutufunza soka , nina hakika hata sisi tuna makocha kwenye nchi zao .
Tanzania oyee !!!!