Ni wastaafu wa jumuia ya afrika mashariki wa tanzania tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni wastaafu wa jumuia ya afrika mashariki wa tanzania tu?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sawabho, Oct 5, 2011.

 1. s

  sawabho JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 948
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot]Wana JF, ni muda mrefu sasa kumekuwepo na mvutano baina ya Serikali na Wastaafu wa iliyokuwa Jumuia ya Afrika Mashariki kuhusu mada yao. Kwa uelewa wangu Jumuia hii ilikuwa na wafanyakazi kutoka nchi nyingine mbili; Kenya na Uganda. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]Sasa inakuwaje wastaafu kwa upande wa Tanzania tu, ndio wanadai? Je, wenzao kutoka nchi nyingine wamesamehe madai yao au walishalipwa. Kama walishalipwa kwanini watanzania hawakulipwa. [/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
   
Loading...