Ni wasanii wapi wa muziki unaowajua wanalazimisha fani?

Habarini Wadau,

Ni ukweli ulio wazi kuwa wapo wanaoitwa wanamuziki hapa bongo ila hawana sifa hizo, kifupi wanalazimisha sana uanamuziki

Kiukweli zaidi kama wangekuwepo nchi zinazojua kuchuja karama au vipaji vya watu kama USA basi wasingekuwepo kabisa kwenye orodha ya wanamuziki hasa waimbaji.

Mimi nitawataja wachache wafuatayo, ambao huwa hawaimbi ila wanaongea tu, na kama wakiimba basi ujue wameshirikishwa au wamebebwa.

Hao ni:-

1) Tunda man

2) Ney wa Mitego

3) Peter Msechu

Ongezea wengine.
Darasa,nuru elly,chege,
 
Hio na2
 
IMG-20150512-WA0004.jpg
Huyo ile mikao yake za uchi uchi na skendo ndio zinampa umaarufu ila utungaji wa nyimbo ni zero

6986a492a98b8a80614f04709c7add8b.jpg
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom