Ni wasaidizi gani IKULU wanaosababisha Rais Kikwete aonekane kituko katika jamii?

JK is not presidential material, Pinda is village head material (not even Distric Commissioner), Sophia Simba is taarabu material, need I say more?
 
Umenena, JK ni miaka 10 ya hasara katika nchi nzuri na yenye rasilimali nyingi. Tujipange tutafika tupatakapo
 
Hilo nililobold hapo juu ndio root problem ya hapa tulipofika kama nchi. Huo mfumuko wa bei, ufisadi uliokithiri, fractured state, ukosefu wa maadili, mabomu (mbagala, gongolamboto na mengine yajayo), zero za kumwaga form iv, rushwa iliyokithiri maeneo yote, mgao wa umeme, n.k n.k ni dalili (symptoms) tu la tatizo tulilonalo la kiuongozi Tanzania.

Na katika hili simlaumu jk hata kidogo kwani huo ndio uwezo wake, ninawalaumu watanzania kwani kumlaumu jk ni sawa na kuilaumu canter ya 3.5 tons iliyoshindwa kutembea hata kama ina rangi nzuri vipi (urais sio sura) baada ya kubebeshwa container la 40 tons. Wa kulaumiwa hapa ni yule aliyeload 40 tons kwenye canter ya 3.5 tons, hili linaapply hapa kwetu pia, watanzania ndio wa kulaumiwa na si mwingine.

Usitulaumu watanzania unatuonea sisi hatukumpigia kura, wa kulaumiwa ni Makame na Tendwa ambao waliona na kuzibariki rafu.
 
He is Guility conscious! on Wivu wa kike!!!!!!!!!!!!!

watanzania wengi kawafanyia mabaya;
1.Babu SEYA na familia yake(life impresonment)

2.Salim Ahmed Salim(alimpaka kinyesi)
3...........Malima(death)
3.Major Gen.Lupogo(piga chini kazi-TACAIDS)
4.Mashishanga
5.P.Mangula(piga chini CCM)
6.Dr.Phd Slaa( anaendelea kumpaka kinyesi cha udini)
n,k na mengine mengi mtaongezea.....

'MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI'
 
-----and SLAA is PRIEST material!---------

Kama PRIEST anamcha Mungu basi anatufaa sana,maana JK anaamini Freemansonary works,hana hofu ya Mungu...........anabaki kuamini Majini na mashetwan!Evidence kuanguka anguka hovyo!
 
Siku zote kiongozi wa nchi hu-akisi mwenendo na tabia ya raia anaowaongoza. Kikwete is same case!
Ndio sababu wenye akili wanaompinga wanaonekana waleta vurugu, waleta udini na wamechukua pesa ulaya ili kufanya nchi isitawalike. Watu hawa wenye akili kama za JK hawajisumbui hata kutafakari yanayosemwa na wapinzani wake!!
 
Very well said. Ukishauriwa utumbo ukikubali basi wewe ndo kiazi kisichoiva.
 
Kama PRIEST anamcha Mungu basi anatufaa sana,maana JK anaamini Freemansonary works,hana hofu ya Mungu...........anabaki kuamini Majini na mashetwan!Evidence kuanguka anguka hovyo!

Acha mzaha angekuwa ana mcha Mungu angekuwa ameshaoa! Mbona anaibanjua amri ya sita kila siku!
 
Hilo nililobold hapo juu ndio root problem ya hapa tulipofika kama nchi. Huo mfumuko wa bei, ufisadi uliokithiri, fractured state, ukosefu wa maadili, mabomu (mbagala, gongolamboto na mengine yajayo), zero za kumwaga form iv, rushwa iliyokithiri maeneo yote, mgao wa umeme, n.k n.k ni dalili (symptoms) tu la tatizo tulilonalo la kiuongozi Tanzania.

Na katika hili simlaumu jk hata kidogo kwani huo ndio uwezo wake, ninawalaumu watanzania kwani kumlaumu jk ni sawa na kuilaumu canter ya 3.5 tons iliyoshindwa kutembea hata kama ina rangi nzuri vipi (urais sio sura) baada ya kubebeshwa container la 40 tons. Wa kulaumiwa hapa ni yule aliyeload 40 tons kwenye canter ya 3.5 tons, hili linaapply hapa kwetu pia, watanzania ndio wa kulaumiwa na si mwingine.

Kaka nashukuru sana kwa wazo lako mbalo nimeliunga mkono ila tatizo hata sisi wenye nchi tukiamua watawala wanabadili maamuzi yetu kwa manufaa yao. Hivyo basi uchakachuaji wa busara za watanzania lazima Kikwete abebe mzigo huu.
 
Ndugu zangu,

Nimeamua nianzishe thread kuonyesha jinsi ninavyokereheka ninaposikia kauli fulani fulani wakati watu wanapojadili uwezo wa kikwete. Utasikia watu wanasema ''tatizo la rais wetu ni wasaidizi wake. Hao ndiyo wanaomwangusha''. Hii kauli jamani inanitia kichefuchefu sana. Hivi kama tatizo ni wasaidizi wake anashindwaje kuchukua hatua stahili??? Mimi naona kikwete mwenyewe nae ni kilaza tu asiyeweza kutambua hata wanaomsaidia na wasiomsaidia. Lazima tuwe wakweli jamani tusifichefiche, kikwete ni mweupe tena sana ndiyo maana nchi inakwenda hovyo hovyo!!
Nakubaliana na wewe kweli JK mweupe kama ni washauri au mawaziri ndio wanaomuangusha nani aliowateua?Ma kitu kingine ningelipenda kuongezea kwa mtu anapokua mweupe hata azungukwe na wataalam au wasaidizi wazuri kiasi gani haisaidii kitu.Ni sawa na gari kuliwekee matairi mapya ukitegemea liongeze kasi wakati tatizo ni Tatizo la Rais wetu haelewi hata nini kinachoendele katika nchi anayoitawala.Ushauri wa wasaidizi wake hawezi kuuelewa na kupambanua nini cha kufanya,matokeo yake ili wasimuudhi wanamdanganya kwa maneno matamu na kumsifia.Kwa kifupi hajui nini kinaendelea.MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Ndugu zangu,

Nimeamua nianzishe thread kuonyesha jinsi ninavyokereheka ninaposikia kauli fulani fulani wakati watu wanapojadili uwezo wa kikwete. Utasikia watu wanasema ''tatizo la rais wetu ni wasaidizi wake. Hao ndiyo wanaomwangusha''. Hii kauli jamani inanitia kichefuchefu sana. Hivi kama tatizo ni wasaidizi wake anashindwaje kuchukua hatua stahili??? Mimi naona kikwete mwenyewe nae ni kilaza tu asiyeweza kutambua hata wanaomsaidia na wasiomsaidia. Lazima tuwe wakweli jamani tusifichefiche, kikwete ni mweupe tena sana ndiyo maana nchi inakwenda hovyo hovyo!!

Kaka utafikiri ulikuwa ndani ya mtima wangu,vipi unatumia lubisi na senene? nataka nikusendie kwa kunigusa na hii thread
 
Eti tatizo ni wasaidizi wake. Wasaidizi wake akina nani -- jambazi Rostam Aziz?

Tatizo kuu la Kikwete ni kwamba hana philosophy yoyote ya uongozi. Si msomaji, si critical thinker, si visionary, si chochote, si lolote -- ni kilaza to the maximum. I will only blame our education system, and of course our current constitutional electoral processes, to produce such weak individuals as kikwete to become a president.
 
Back
Top Bottom