Ni wasaidizi gani IKULU wanaosababisha Rais Kikwete aonekane kituko katika jamii?

Rais wetu anatia huruma sana.Yani i really do feel sorry for him as much as i feel sorry for the people.

pole sana,you feel sory for him mwenzio anaishi ndani ya ndege!nyie mnalia mgao wa umeme yee ndio kwaaanza anaenda south kuangalia isidingo.na akihojiwa anajibu hawezi kupeleka wingu mvua zinyeshe mtera,and you feel sory for him?are you joking
 
Naona asilimia kubwa ya wachangiaji wameona vyema kuwa hakuna anayemhujuma JK zaidi ya JK mwenyewe. Nadhani muda umefika aambiwe ukweli huu. Tatizo 'samaki mkunja angali mbichi, akikauka hakunjiki"... sasa mzee huyu na miaka karibia 60 hakunjiki... so tukubali matokeo, ila mi naomba niseme mapema sikumpa kura yangu 2005 na 2010...
 
labda usema wanaJF wanamuhujumu Raisi wetu
wachangiaji wengi wa JF wana chuki na Rais wetu
Mtu kama Mtu huwezi kujihujumu mwenyewe
can you prove kwa jamii vip Rais wetu anajihujumu mwenyewe??
 
Mkuu, wengi wetu hatumjui binafsi JK hatuwezi kumchukia hivihivi, ukiona watu wanaongea kwa chuki ni kwamba wamechukizwa na utendaji wake au kutotenda kwake kitu wakati wa maafa na matatizo kama sasa katika suala hili la umeme.
Kuhusu kujihujumu mwenyewe mbona hili liko wazi. Washauri wake hapangiwi na mtu, anawachagua yeye mwenyewe. Akichagua washikaji zake badala ya kuangalia qualification ya mtu anajihujumu. Zaidi ya hayo inasemekana na inaonekana hataki ushauri kwa hiyo kila kosa analotenda ni responsibility yake. Naomba wewe ndo utupatie proof au evidence kwamba anahujumiwa na mtu mwingine zaidi yake mwenyewe. Asante.

labda usema wanaJF wanamuhujumu Raisi watu
wachangiaji wengi wa JF wana chuki na Rais wetu
Mtu kama Mtu huwezi kujihujumu mwenyewe
can you prove kwa jamii vip Rais wetu anajihujumu mwenyewe??
 
Inaeleweka wazi aliandika hii thread anatoka press office ya ikulu, kweli taifa hili ni janga limejaa watu mbumbu kweli kweli. Huyo unaemwita na kumpa nafasi ya urasi umeshindwa kabisa kumweleza aondoke madarakani mwenyewe kama mfano badala yake mtaanza kuwalaumu hata wanyama maporini wanamwangusha kikwete. Hivi visababu vya shule za vidudu lini mtaacha kuwadanya wanaodanganyika au lini mtatumia akili zenu na kuanza kupenda taifa lenu?

Wazi Watanzania wengi wanajua jinsi gani ccm na kikwete wenu mnapigania kuwabeza wananchi kwamba tuna katiba ambayo imempa kikwete na wahuni wenzenu nafasi ya kutawala, kudanganya, kubuluza, kuficha siri na madhambi ya kila aina Tanzania. Malalamiko ya wanachama wa ccm na wafanyakazi wenu serikalini yanaonekana wazi hamjui hii katiba ndiyo inawacheka na kufunga koo. Kwanini katiba inazungumzia kikwete aachiwe haya madaraka kuanzia kuteua, kuendesha serikali, kupitisha bajeti, kusuka deals na kuwadanganya wananchi? Kama hata hii katiba yenu mmeshindwa kuona ni kazi kubwa kwa kikwete si aondoke turekebishe katiba yetu sisi wenyewe? Unapozungumzia wapo wanaomwangusha kikwete katika utendaji wa kazi kitaifa wakati kila sehemu kwenye katiba the whole decisions za nchi zinarudi pale pale kwa kikwete mwenyewe kama mwamuzi wa mwisho, is simple as this 'kikwete had been incompetent before he got to the office' Watu aliowaweka wote wanafanana na uwezo wake mwenyewe kichwani hivyo kwa kukusaidia nendeni mkachunguzwe brains zenu na muuache hili taifa letu.

Sisi wananchi we will go from here na solutions zetu. Wajinga na sababu za kijinga tumechoka zamani sana.

Swali kwa wanaJF

Kadili siku zinavyoenda watanzania wanakosa Imani na Raisi wetu mpendwa
kwasababu

1. Giza la Muda Mrefu
2. Maisha MAGUMU
3. Rushwa imezidi

Ikiangalia nchi za wenzetu Kenya na uganda ambazo ziko kwenye ukanda
mmoja na TAnzania hazina Matatizo haya hasahasa la umeme, mvua inanyesha sana huko?

Mimi sikubaliani na sababu zinazotolewa na wasadizi wa Jk kuwa mvua haijanyesha,
mara mabwawa yana michanga, mara generator inaitaji repair

Naomba tumsadie Rais watu kumulika wale wote wanoomuujumu

Nawakilisha
 
Hapa umevuka mstari mwekundu. Mungu gani anaweka incompetent people, where did you see weak and thieves get leadership from God? Tueleze unatoa kwenye scripture gani na tangu lini NEC na makame waliwekwa na Mungu?

This is the most stupid thing I ever heard since JF imeanza ku-air. Wewe endelea kutumia simu na internet na bills za wananchi, tunajua nyie press office ya ikulu hamna moyo kabisa na matumizi ya serikali.

mkuu hii ndo nini?

Rais wetu ni chaguo la Mungu
 
Mkuu Niweze,Mungu hutumia kama means za kuwasilisha ujumbe wake kwa watu. Sishangai JK kuwa amewekwa na Mungu, ili tupitie magumu wakati huu wa utawala wake tuweze kujifunza kufanya uchaguzi wa maana wakati mwingine uchaguzi utakapokuja.Unakumbuka uchaguzi wa Saul kwa waisrael? Mungu aliwaruhusu wachague mtu wamtakaye kwa kuwa hawakutaka kuisikia sauti ya Mungu. Hakuwa chaguo la Mumgu, lakini Mungu aliruhusu. Matokeo yake walionja joto ya jiwe. Next time wakamruhusu Mungu kufanya uchaguzi, ndo kamchagua Daud.Tunapitia wakati mgumu wa Jk kwa sababu watu waliangalia sura kufanya uchaguzi. Next time we will be serious.
 
This is excellent mkuu. Nipo na wewe kama mwandikaji alimaanisha hivyo, I doubt it.

Back
Top Bottom