Daniel Schoter
Senior Member
- Jan 12, 2017
- 114
- 64
Wakuu salama mimi ni mwanafunzi katika chuo cha ufundi arusha Technical naulizia wapi nitafanya field na kulipwa iwe katika kampuni binafsi la umma mimi nilikuwa najua ufundi kadhaa niko katika field ya umeme msaada wakuu sorry pia sikupanga kupost muda ule