Ni wapi nitapata vikopo ambavyo ni transparent pia naomba kufahamu kuhusu labeling

Principle girl

JF-Expert Member
Jul 31, 2014
1,107
1,094
Habaeini waungwana,naomba kujua ni wapi vikopo vile vilivo transparent kama vile vinavowekewa glicerine mafuta ya nazi na vinginevyo ni wapi hupatikana hivo vikopo na bei yake ikoje na pia kuhusu labeling bei ikoje,kwa anaefahamu naomba anifahamishe.
 
Back
Top Bottom