Ni wapi naweza kutrack simu iliyopotea kwa IMEI (Dar)?

budebajr

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
374
212
Nimeibiwa simu aina ya Nokia Lumia, nimewai sikia kuna mahala katika mitandao ya simu watu huwa wanapeleka IMEI na pia simu inatafutwa nakuonekana au kama ni kuilock.
 
Nishapoteza simu nyingi kijana. . . Ukiona hio mpka nataka kutrack kuna maana muim
 
uko mkoa gani nikuelekekeze mimi niliibiwa Simu mbili zote zilipatikana polisi walifanya kazi ya kutrack
 
Pole Sana nami niliibiwa Simu ila resiti yangu ndio sikumbuki nimeiweka wapi ila nikiipata napeleka report... umesema umeibiwa nikastuka kuna jamaa moja anaosha magari sehemu niliwasikia anasema ameokota siku kwenye bus nokia ila kioo cha juu kimepasuka pasuka na anamuambia mwenzie kuwa anaitumia hivyo hivyo na jina kaweka lake... Mtu kama huyo utamfanyaje.. kaokota kwenye bus la Mbagala... na anamuambia mwenzie huu mwezi
 
Wajameni masihala Kwenye vitu vya kuuma roho msaidie binafsi sijui ama kama angekuwa na Tigo backup ingemsaidia
Kwaushauri nunua nyingine hiyo imekwisha kwenda.
 
kwa simu za lumia kama uli enable find my phone ungeweza kuitrack kama angekua hajaiflash/reset ila wengi wenu humu munakumbuka shuka asubuhi wakati haijaibiwa unakuwa huombi ushauri ila ikiibiwa ndio unataka ushauri
 
Tatizo na nyie hamsemagi mpaka watu waibiwe ndo mnafunguka
 
GOOGLE FIND MY PHONE AU NENDA KWA KAMPUNI YA MTANDAO WA SIMU ULIOKUWA UNATUMIA WATAKUSAIDIA
 
utapoteza muda kaka na kesi isiyo na maana so muhimu we songa mbele ...labda kama una pexa za kuchezea unajua ..
 
Teh teh unajua nashangaa kabisa nimeanza kutumia simu siemens c25 mwaka 1998 nikaja nokia 5210 mwaka 2000 mpaka leo miaka 18 sijawahi kuibiwa simu mpaka najishangaa labda vile naishi kijijini miaka mingi lakini kijijini ulaya sio bongo
 
Ha
GOOGLE FIND MY PHONE AU NENDA KWA KAMPUNI YA MTANDAO WA SIMU ULIOKUWA UNATUMIA WATAKUSAIDIA
wasaidii Mkuu mimi pia ni Muathirika wao wanakuuzia simcard mpya tu business as usual hizo kesi huwa ni pasua kichwa sana... polisi wana kes lukuki na hawakamati mtu... Watu maarufu wakiiba ni rahisi kuwashika ila hohe hahe ni kuachana nayo tu huipati... Unakuta sometime hata kama mtu sio mwizi akiipata hana wa kumrejeshea hatuweki contact za pili incase mtu akiipata apige ili akurejeshee umpoze
 
Tatizo na nyie hamsemagi mpaka watu waibiwe ndo mnafunguka

Nafahamu sana izi App za simu. Nilishawai weka kwenye simu yangu ya Sony Xperia Zr. Na uwezo wa kutrack,lock na Erase" naufaham vizuri na baada ya kuibiwa nili-report polisi nikawa naicheck kila siku, sikufanikiwa kutokana na ujuz wangu wa IT najua izi App ni rais kufuta ndo mana nilikua nikitafuta huduma ya kutrack kwa IMEI
 
Back
Top Bottom