nenda ofisi ya polisi mkoa ulizia kitengo cha cyber crime watakusaidia kuipayaNipo Dar es salaam
nenda ofisi ya polisi mkoa ulizia kitengo cha cyber crime watakusaidia kuipaya
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Wajameni masihala Kwenye vitu vya kuuma roho msaidie binafsi sijui ama kama angekuwa na Tigo backup ingemsaidiaPole Sana nami niliibiwa Simu ila resiti yangu ndio sikumbuki nimeiweka wapi ila nikiipata napeleka report... umesema umeibiwa nikastuka kuna jamaa moja anaosha magari sehemu niliwasikia anasema ameokota siku kwenye bus nokia ila kioo cha juu kimepasuka pasuka na anamuambia mwenzie kuwa anaitumia hivyo hivyo na jina kaweka lake... Mtu kama huyo utamfanyaje.. kaokota kwenye bus la Mbagala... na anamuambia mwenzie huu mwezi
Tatizo na nyie hamsemagi mpaka watu waibiwe ndo mnafungukakwa simu za lumia kama uli enable find my phone ungeweza kuitrack kama angekua hajaiflash/reset ila wengi wenu humu munakumbuka shuka asubuhi wakati haijaibiwa unakuwa huombi ushauri ila ikiibiwa ndio unataka ushauri
wasaidii Mkuu mimi pia ni Muathirika wao wanakuuzia simcard mpya tu business as usual hizo kesi huwa ni pasua kichwa sana... polisi wana kes lukuki na hawakamati mtu... Watu maarufu wakiiba ni rahisi kuwashika ila hohe hahe ni kuachana nayo tu huipati... Unakuta sometime hata kama mtu sio mwizi akiipata hana wa kumrejeshea hatuweki contact za pili incase mtu akiipata apige ili akurejeshee umpozeGOOGLE FIND MY PHONE AU NENDA KWA KAMPUNI YA MTANDAO WA SIMU ULIOKUWA UNATUMIA WATAKUSAIDIA
Tatizo na nyie hamsemagi mpaka watu waibiwe ndo mnafunguka