Ni wapi naweza kupata nyama safi ya Kitimoto for the weekend hapa Dar

Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.

Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu
OI, ULIPATA
NINGEPENDA KUJUA
 
Iringa pale kwa Mama siyovelwa.
Pia mabanda ya Ccm. Hii kitu iko mioyoni kwa watu.
 
Sisi tunamfata hukuhuku shambani
 
Attachments

  • 20170912_183144.jpg
    20170912_183144.jpg
    93.6 KB · Views: 78
MIBs Sinza mori wapo vizuri sana
Naombeni kwa wale wazoefu mnijuze, ni wapi naweza pata nyama safi ya mdudu kwa ajili ya kuuburudisha mwili na roho yangu for the weekend, nimechoka sana na kazi zimenibana sana nahitaji mdudu nile nitulie hadi jumatatu.

Asanteni sana kwa wale mtakaonijuza na kwa wale mtakaokasirika nawakaribisha pia ila muache wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom