Ni wapi naweza kupata nakala ya Kitabu cha Mbio za Jasusi

XhosaVica

Senior Member
Sep 29, 2020
132
133
Nakumbuka kipindi kile miaka ya 90 nilipata mahali kusoma kitabu chenye kichwa cha habari "Mbio za Jasusi" simkumbuki mwandishi ila nakumbuka maudhui yake yalikua ni jasusi wa kitanzania akienda kuiokoa Afrika ya kusini.

Kwa anayefahamu wapi naweza kuipata nakala na hasa PDF form.

Kuna website yeyote naweza kupata nakala za Riwaya za kiswahili?

Shukrani
 
Mimi niliwahi kusoma kitabu chenye maudhui kama hayo, kilitungwa na marehemu Ben Mtobwa kikiitwa Tutarudi na Roho zetu (Sina uhakika sana) huyo jasusi aliitwa Joram Kiango
 
Nakumbuka kipindi kile miaka ya 90 nilipata mahali kusoma kitabu chenye kichwa cha habari "Mbio za Jasusi" simkumbuki mwandishi ila nakumbuka maudhui yake yalikua ni jasusi wa kitanzania akienda kuiokoa Afrika ya kusini.

Kwa anayefahamu wapi naweza kuipata nakala na hasa PDF form.

Kuna website yeyote naweza kupata nakala za Riwaya za kiswahili?

Shukrani
Ukienda Maktaba Kuu ya Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, kitengo maalumu, utakipata. Au katika Maktaba ya (TATAKI) idara ya Kiswahili
 
Mm pia nahitaj nakala ya kitabu cha shushuuu mwandishi ni evarist chahali
 
Back
Top Bottom