Ni wapi kwa Dar es Salaam naweza jiunga na club ya kuogelea?

May 20, 2016
8
5
Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia.

Please msaada kwa anayefahamu.
 
Mimi ni kijana mtanzania, umri wangu ni miaka 27. Nimetokea kuupenda mchezo wa kuogelea na kuhitaji kujifunza ila sijui pa kuanzia.

Please msaada kwa anayefahamu.
fika chuo kikuu mlimani kila siku saa tisa jioni karibu na parking ya shuttle bus za mabibo kuna swimming pool.
 
Utalatibu ukoje kujiunga, kuna walimu mana cna uzoefu sana na mchezo huo nlikuwa naitaji sehem kama club hvi nweze kujifunza zaid
 
nenda facebook search Kharid Rushaka,ni mwalimu wa kuogela pale UDSM anarespond uki muinbox..ningekupatia namba yake,but just try that optional first
 
Back
Top Bottom