Ni wapi inapatikana chanjo/tiba ya kichaa cha mbwa (rabies)

GOKILI

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
625
435
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kufahamu ni wapi inapatikana tiba au chanjo ya kichaa cha MBWA (rabies) na gharama zake kama zipo.

Natanguliza shukrani.
 
Hospital angalau kuanzia ngazi ya wilaya. ila ina gharama kubwa kdgo tofauti na dawa nyngne
 
Hospital kubwa tu kam bungando iv na jamii ya hizo pia hospital za mkoa za wilay unawez ukaenda na ukazkosa kwakuw ni adimu san
Bei yake ni elfu 30~50 kwa sindano moja na inatakiwa ukamilishe sindano kama tano iv so bei ya jumla hapo ni almost lak 2 au zaid kidog
 
Back
Top Bottom