Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Kilimahewa ni mgawanyo wa 1998 hadi 2000 hapa katikati kama sijakosea.

Awali ni kama iliitwa St.Joseph Pr.School kabla ya Halengo.

Mashamba yote ya shule yalikuwa ya kanisa Katoliki.

Sijajua kama bado ni yao ijapokuwa walimu wanayatumia
nimecheka
 
Umeona, eh! Hata ripoti hivyo hivyo maofisi. Wanaandika ripoti kama text message vile. Kazi kweli kweli...
Kwa utafiti wangu wa haraka nimegundua kwamba elimu yetu watanzania imeanza kuharibika miaka ya 90..hivi unaandikaje jina la mwalimu au shule kwa kuanza na herufi ndogo?
Hivi vitu vidogo ndo ulikuwa msingi wa mwanzo katika elimu ya mwanafunzi.
 
Hah hah hah Mwalimu Mkwili ninavyompenda ntakunywa sumu juu yake oooh naumia ooh naumia haha hah STADI ZA KAZI.
Ulikua mbele yangu mwaka mmoja. Alikua anajiita mwalim moto. Brown na Mkwili 1994.
 
Maticha wa miaka ya 1980....walinifurahisha Sana.

Ticha wa kawaida ukichelewa kufika shuleni unarudishwa home na ticha mkuu.

Ticha akitaka kukuchapa ukizingua unapigwa ngumi.

Ukimleta mzazi akijifanya kupaniki anaambiwa hamisha mwanao.
 
Madam Penina. Nalikumbuka hili jina kwa sababu kuna kisa nyuma yake.

Huyu Madam alikuwaga mkali sana ukifeli masomo yake. Katufinya finya sana aisee! Sasa ikatokeaga siku nikawa nimemkera zaidi - Nilifeli yaani 😂😂.

Kama kawa.. Ukifeli lazima kuna kucha zikupe shikamoo, so nikakutana nazo halafu kwa bahati mbaya mwili wangu una drama zake. Kile kifinyo kikaniacha na alama alafu Mama akaziona.

Baada ya kuziona akampigia simu, ikawa kama wanaelekezana. It was Friday. Monday naenda shule nakutana na taarifa Madam amefariki. I felt some how guilty, but after all it was a coincedece!!
 
Huu uzi utakuwa hujakamilika bila kumtaja mwalimu wangu wadarasa enzi hizo N/A Primaryschool(MENGENI) mwalimu KiwoliMwalimu alikuwa Nambwebwe huyu sijawahi ona kufinya masikio na mashavu ilikuwa sehemu zake pendwa hata kama huna kosa ilikuwa ukikaa nae karibu lazima akufinyefinye
 
Back
Top Bottom