Jhounne
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 1,093
- 2,522
nimechekaKilimahewa ni mgawanyo wa 1998 hadi 2000 hapa katikati kama sijakosea.
Awali ni kama iliitwa St.Joseph Pr.School kabla ya Halengo.
Mashamba yote ya shule yalikuwa ya kanisa Katoliki.
Sijajua kama bado ni yao ijapokuwa walimu wanayatumia