Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Mwalimu Pepa.. Mwalimu Kafuruki na Mwalimu Maimu


Sent from my iPhone 5s using JamiiForums mobile App
 
WATANZANIA KUWAKAMATA NI RAHISI MNO... HILI SWALI LINAWEZA KUWA HATUA YA MWANZO KUWAJUA WATU KWA MAANA MTU ANAWEZA ULIZIA SHULE YENYEWE AKAPATA NA DETAILS ZA WATU KADHAA KISHA KUFANYA ANALYSIS YA KUJUA YUPI NDIO YUPO JF..
Ngoja niishie hapa..
 
Mwl. Shirima and she lefted a special mark to my entire life up to date. Kokote alipo Mungu ampe mema zaidi.
 
Kwamba Mimi ndo mdogo kiasi ichi kweli?? Ila Mbona tukikutana Kweny post Naona tunakaribiana akil japo wamenizid

Yaan kila post Mara 1971,75,81,93 na 95,,,,,,Dah nouma kweli yaan job true true

Ni akil za usiku lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom